Mchungaji na Bilionea Shilla...

Huyo number 10 mtoe.
 
Niliwahi kumkuta bar pande za Arusha. Aliponiona aliniita nikajongea, lkn sikuona unabii na Wito wa kiMungu kwake.... Nilishangaa na kushtushwa na maneno aliyoniambia,,,, Mungu tusaidie
 
Nimefurahi kuona uwepo wako Dina

Kuna rafiki yangu huwa anasema, kama si shida basi Waafrika wangekuwa wapagani namba moja...

Hivyo watu hupelekwa huko sababu ya shida tu
Nipo ndugu badala ya kuongeza nguvu kupambania maendeleo imebidi tuongeze ya kupambana kuishi dhidi ya mdudu corona.

Na baadhi ya "watumishi" wanakapitolaizi kwenye hizo shida za watu...basi si tafrani.
 
Kuna mahali niliwahi kusoma...kuna muumini analalamika amemkopa nabii mil 1 hajamrudishia [emoji23][emoji23] anampiga chenga tu
Nabii pengine akawa anamuambia muumini ...ile tuifanye sadaka tuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Pesa uliyonayo
πŸ˜†πŸ˜† Zile wanazopiga nazo picha 🀣🀣 ukienda kiuhalisia bongo mabillionea ni wachache sana hata wale tunaoambiwa ni mabillionea utakuta sio ila tu wana hela
 
Bilonea anapiga picha na 5m huyo labda bilionea wa zimbabwe...nlimkuta chuga analala premier hotel,chumba pale 50 kwa 40[emoji16][emoji16]anazidiwa na tunda anaelala mountmeru au granmelia
 
Bilonea anapiga picha na 5m huyo labda bilionea wa zimbabwe...nlimkuta chuga analala premier hotel,chumba pale 50 kwa 40[emoji16][emoji16]anazidiwa na tunda anaelala mountmeru au granmelia
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wangapi wapo online kwa sasa, watu 100 kuwa wa kwanza kusema Amen, nitawajaza mitaji ya biashara.
 
Huu utqjiri usio na maelezo yanayoeleweka,huwa unatia mashaka,
Ukitaka kujua utajiri unavyopatikana,kawasome Mzee Mengi,Bakheresa,Mo dewji,Moil,Shabiby,
Diamond,Master J,Pfunk,Masanja mkandamizaji,Joti,
Lakini Hawa wanaozuka,kama gwaji boy,
It's just shady deals,unaweza ukakuta wengine kazi yao ni kubashiwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…