Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kisa cha Mchungaji alikuta jamaa kalikata sasa kashindwa kulikokota kuvuka barabara wakamsaidia walipolivusha wakaendelea na safari sasa wao wameona miujiza mkataji kashindwaje na ana upanga/nyengoSijaisoma yote.
Mchungaji kaona ngoja akufanye demoππKweli duniani kuna mengi. Ni ajabu mwanadamu anamuwinda mwanadamu mwenzake utafikiri tunaishi katika mbuga za wanyama.
Siku kadhaa zilizopita, mimi na Mchungaji wangu pamoja na mke wake, tulinusurika kuuawa. Ilikuwa alasiri, mimi na Watumishi hao wa Mungu, tulienda kufanya huduma katika mji mmoja. Barabara inayokwenda katika mji huo ilikuwa ya vumbi na ilikatisha katika pori kubwa lenye miti mirefu.
Baada ya kufika katika mji huo, tulifanya kile kilichotupeleka kisha tukaanza safari ya kurudi. Wakati huo ilikuwa inakaribia saa 12 jioni. Tulivyolifikia lile pori tukaona mbele yetu vijiti vyenye futi kama mbilimbili vimesimikwa chini kwa karibu karibu, mstari mmoja. Mchungaji wangu ndiye aliyekuwa anaendesha gari, akaona sio vema kuvikanyaga vile vijiti akatafuta upenyo pembeni ya vijiti hivyo tukafaulu kupita bila kuvikanyaga. Kwa mawazo yetu tulifikiri labda ni watoto walikuwa wanacheza kwenye barabara hiyo wakaona wasimike vijiti hivyo. Kwa sababu hiyo tuliendelea na safari bila kuhisi chochote kibaya mbele yetu. Siku hiyo hakukuwa na magari wala pikipiki tulizoziona zikipita barabara ile.
Kabla ya kulipita lile pori, tukaona kikwazo kingine kikubwa mbele yetu. Gogo kubwa, refu, lilikuwa limelazwa barabarani kuzuia gari lisipite. Gogo hilo lilikuwa nene sana hivyo kulikuwa hakuna uwezekano wa kulivuka kwa gari. Pembeni ya barabara hiyo hapakuwa na upenyo kama ilivyokuwa pale mwanzoni hivyo ilibidi Mchungaji asimamishe gari. Tulipoangalia kulia kwa barabara, mita kama kumi kutoka kwenye gogo hilo, tukaona mtu ameshika upanga mkononi. Ghafla tulipaza sauti na kuanza kumuomba Mungu atupiganie huku tukimkemea shetani ashindwe kwa Jina la Yesu, sawasawa na Neno la Mungu katika Yakobo 4:7-10. Tulikemea sana, kisha Mchungaji akaniomba nishuke niliondoe lile gogo. Mungu alinipa ujasiri usiokuwa wa kawaida, nikashuka kutoka kwenye gari nikaliendea lile gogo. Nilitumia nguvu nyingi kulivuta na kuliondoa barabarani; kisha nikapanda tena gari, tukaanza kuondoka. Tulivyomtazama yule mtu mwenye upanga, alikuwa bado amesimama palepale alipokuwa. Naamini Mungu alimpiga upofu, kama alivyofanya wakati wa Elisha(2Wafalme 6:18) ndio sababu hakuweza kusogeza unyayo wake kutukaribia. Tuliendelea na safari kwa furaha kubwa huku tukimsifu Mungu aliyetuvusha salama eneo lile.
Kazi za Ibilisi ni kuiba, kuchinja na kutafuta kuharibu maisha yetu(Yohana 10:10), lakini Mungu anapokuwa upande wetu, shetani na majambazi yake yanashindwa na kulegea.
Ukute alitaka kumtoa kafaraMungu alikuokoa wewe ambaye huyo Mchungaji wako aliamua kukutoa sadaka.
Wachungaji wengi ni waizi na wauwaji inawezekana mchongo wote aliufanya yeye, omba ili upewe maono.
Na ukiendelea naye he will kill you direct
Lini na wapi ilitokea hili tukio mkuu?Kisa ni cha kweli kabisa. Mimi nauchukia uongo kama ukoma. Uongo ni dhambi na hukumu yake ni kubwa. Soma:
Ufunuo wa Yohana 21:8
"Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili."
Unataka nitaje eneo niwatishe watu waache kupita barabara hiyo? Kwani majambazi wanakaa eneo moja kila siku. Ukisafiri chukua tahadhari huku ukimtanguliza Mungu mbele, utakuwa salama.
Dah, pesa mbele. Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake na hayo yote mtazidishiwa(Mathayo 6:33).Mkuu hiyo ni fursa.Kama una uwezo wa kumkemea jambazi mpaka akakauka basi fungua kampuni za kulinda(Security Companies)ili ulinde kwa kukemea tu.
Za kuambiwa changanya na zako.
Vichekesho kama hivi unavitoa wapi?Kweli duniani kuna mengi. Ni ajabu mwanadamu anamuwinda mwanadamu mwenzake utafikiri tunaishi katika mbuga za wanyama.
Siku kadhaa zilizopita, mimi na Mchungaji wangu pamoja na mke wake, tulinusurika kuuawa. Ilikuwa alasiri, mimi na Watumishi hao wa Mungu, tulienda kufanya huduma katika mji mmoja. Barabara inayokwenda katika mji huo ilikuwa ya vumbi na ilikatisha katika pori kubwa lenye miti mirefu.
Baada ya kufika katika mji huo, tulifanya kile kilichotupeleka kisha tukaanza safari ya kurudi. Wakati huo ilikuwa inakaribia saa 12 jioni. Tulivyolifikia lile pori tukaona mbele yetu vijiti vyenye futi kama mbilimbili vimesimikwa chini kwa karibu karibu, mstari mmoja. Mchungaji wangu ndiye aliyekuwa anaendesha gari, akaona sio vema kuvikanyaga vile vijiti akatafuta upenyo pembeni ya vijiti hivyo tukafaulu kupita bila kuvikanyaga. Kwa mawazo yetu tulifikiri labda ni watoto walikuwa wanacheza kwenye barabara hiyo wakaona wasimike vijiti hivyo. Kwa sababu hiyo tuliendelea na safari bila kuhisi chochote kibaya mbele yetu. Siku hiyo hakukuwa na magari wala pikipiki tulizoziona zikipita barabara ile.
Kabla ya kulipita lile pori, tukaona kikwazo kingine kikubwa mbele yetu. Gogo kubwa, refu, lilikuwa limelazwa barabarani kuzuia gari lisipite. Gogo hilo lilikuwa nene sana hivyo kulikuwa hakuna uwezekano wa kulivuka kwa gari. Pembeni ya barabara hiyo hapakuwa na upenyo kama ilivyokuwa pale mwanzoni hivyo ilibidi Mchungaji asimamishe gari. Tulipoangalia kulia kwa barabara, mita kama kumi kutoka kwenye gogo hilo, tukaona mtu ameshika upanga mkononi. Ghafla tulipaza sauti na kuanza kumuomba Mungu atupiganie huku tukimkemea shetani ashindwe kwa Jina la Yesu, sawasawa na Neno la Mungu katika Yakobo 4:7-10. Tulikemea sana, kisha Mchungaji akaniomba nishuke niliondoe lile gogo. Mungu alinipa ujasiri usiokuwa wa kawaida, nikashuka kutoka kwenye gari nikaliendea lile gogo. Nilitumia nguvu nyingi kulivuta na kuliondoa barabarani; kisha nikapanda tena gari, tukaanza kuondoka. Tulivyomtazama yule mtu mwenye upanga, alikuwa bado amesimama palepale alipokuwa. Naamini Mungu alimpiga upofu, kama alivyofanya wakati wa Elisha(2Wafalme 6:18) ndio sababu hakuweza kusogeza unyayo wake kutukaribia. Tuliendelea na safari kwa furaha kubwa huku tukimsifu Mungu aliyetuvusha salama eneo lile.
Kazi za Ibilisi ni kuiba, kuchinja na kutafuta kuharibu maisha yetu(Yohana 10:10), lakini Mungu anapokuwa upande wetu, shetani na majambazi yake yanashindwa na kulegea.
....Katika karne hii hapo ambapo yote haya unayodai kuwa yalitokea hapana jina??Kweli duniani kuna mengi. Ni ajabu mwanadamu anamuwinda mwanadamu mwenzake utafikiri tunaishi katika mbuga za wanyama.

Umri wa mchungaji Ni mzee kijana baunsakwa nini mchungaji yeye hakushuka?
Mchungaji mwema anawezaje kumtuma kondoo wake kwenye hata kama hiyo
Ila humu dah![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umetoa taarifa kwa Mambosasa?
Yaani katika nyie watatu wewe ndiye uliyenusurika kuuwawa, lakn kwa kuwa mchungaji kakutawala akili yako yote, wewe unaandika kichwa cha habari "mchungaji na mkewe wanusurika kuuwawa". Hizi akili hizi!Kweli duniani kuna mengi. Ni ajabu mwanadamu anamuwinda mwanadamu mwenzake utafikiri tunaishi katika mbuga za wanyama.