Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mzungu aliuguliwa na mbwa wake akampeleka Kanisani ili aombewe. MCHUNGAJI akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni wapi wanaombea? maana nina sadaka ya sh. MILLION 5 kwa MCHUNGAJI atakayemuombea mbwa wangu! MCHUNGAJI akajibu, aah! Mbona hukusema mapema kuwa mbwa wako ni mkristo ? Haya mlete nimuombee?[emoji1][emoji3][emoji3][emoji2]