Mchungaji na sadaka ya mil. 5

Mchungaji na sadaka ya mil. 5

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Mzungu aliuguliwa na mbwa wake akampeleka Kanisani ili aombewe. MCHUNGAJI akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni wapi wanaombea? maana nina sadaka ya sh. MILLION 5 kwa MCHUNGAJI atakayemuombea mbwa wangu! MCHUNGAJI akajibu, aah! Mbona hukusema mapema kuwa mbwa wako ni mkristo ? Haya mlete nimuombee?[emoji1][emoji3][emoji3][emoji2]
 
Kwa hiyo
Mbwa alipona gonjwa lake
jua rupia hupenyezwa popote, kuna jamaa walipenyezewa mlungula 10m kupitisha Sheria ya vyombo vya habari, leo Kesi ipo EA
 
Back
Top Bottom