...baada ya kutoka kanisani basi tupo nje ya kanisani tunasalimiana na Mchungaji,kwa kuwa huwa sitoi sadaka ikabidi nifiche simu yangu ili mchungaji asiione maana ni ya gharama,kabla sijaiweka mfukoni akaiona,akauliza....
simu nzuri sana,umenunua sh. ngapi?
ili kuficha bei halisi nikasema elfu 20 kumbe ni ya laki 2.Mara mchungaji akatoa elfu 40..kisha akasema...
kanunue mbili kama hizo nyingine nitampa mke wangu.