Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,404
...baada ya kutoka kanisani basi tupo nje ya kanisani tunasalimiana na Mchungaji,kwa kuwa huwa sitoi sadaka ikabidi nifiche simu yangu ili mchungaji asiione maana ni ya gharama,kabla sijaiweka mfukoni akaiona,akauliza....
- simu nzuri sana,umenunua sh. ngapi?
- kanunue mbili kama hizo nyingine nitampa mke wangu.