Pre GE2025 Mchungaji ndio alimpeleka Abdul kwa Makamu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuondoa huu utata Lissu apasue hili buyu aeleze ni nani alimpeleka Abdul. Ushahidi anao wa camera na nina uhakika atakuwa amerikodi mazungumzo yao,kwa vile ameamua kulianzisha ni vema alimalizie kabisa vinginevyo ataonekana anaropoka. Tunataka hili swala liishe.
 
Wenda kweli mkuu Mshana, kuna siku Mchungaji alimganda sana mwana wa Mungu Lissu, kumbe alikua na lake jambo
 
Mbona Nimesikia Wenje?
 
Kwanini msizipeleke kwa mamlaka Takukuru Mkuu?.

Itashangaza kama kuna hizi tuhuma za matukio yahuyo rushwa alafu Takukuru wakawa wamezipotezea hata kuwaita na kuwahoji napo wamepotezea. Itashangaza na kusikitisha sana.
 
Ni yeye aliyeeda hadi ikungi huko. Sio kila jambo utafuniwe. Fukunyua taarifa kisha potezea
Asante kwa taarifa mkuu, lakini mwenye kuweza kuthibitisha ukweli kuhusu muhusika wa tukio ni Lissu mwenyewe na nadhani kunapoendea ukweli utawekwa wazi kabisa.
 
Kwanini msizipeleke kwa mamlaka Takukuru Mkuu?.

Itashangaza kama kuna hizi tuhuma za matukio yahuyo rushwa alafu Takukuru wakawa wamezipotezea hata kuwaita na kuwahoji napo wamepotezea. Itashangaza na kusikitisha sana.
Kuna Takukuru nchi hii? hao subiri wakikamata nesi Amana akipokea rushwa ya elfu 2 ili kumuosha mgonjwa kidonda
 
Siri anabaki nayo Lissu ila naye aitoe kwenye Kamati kuu kukisafisha chama.
Tunampinga mwandishi kwa vile ukisikiliza anazungumzia huyo aliyempeleka Abdul kwake yupo CDM. Je, Msigwa yupo CDM sasa? Mshana Jr unajiangusha. Bora kuwa kimya ili utunze heshima yako
 
Ni Msigwa ila muda wa kumtaja haujatimia
Unajaribu kuhamisha lawama toka kwa "kiongozi wa chama cha upinzani" kwenda kwa Mchungaji Msigwa; jirahidi labda utafanikiwa.
Ingekuwa ni Msigwa angetajwa waziwazi ili ionyeshwe wazi kuwa ni msaliti wa chama. Watu wenye akili zao wanaweza kung'amua hilo mapema tu!
Msigwa na Lissu walikuwa kambi moja, upinzani wao ulikuwa dhidi ya kambi ya mwenyekiti, wakiituhumu kambi ya mfalme mbowe kupewa pesa na Abdul ili wazitumie kwenye uchaguzi wa ndani ya chama.
Hoja yako ni urojo mtupu, haina mashiko.
 
Msigwa ndo muasisi wa rusha ndani ya chadema.
Narudia namfahamu msigwa na namjua.
Yeye ni mpenda pesa na ngoneka na kondoo wake.
Naweza kuweka ushahidi mkihitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ