Pre GE2025 Mchungaji ndio alimpeleka Abdul kwa Makamu?

Pre GE2025 Mchungaji ndio alimpeleka Abdul kwa Makamu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii haiwezi kuwa sawa maana alianza kulalamika kuhusu Rushwa aliyopewa Sugu na Mama Abdul ili wamuangushe Msigwa. Lissu akiwa Iringa alipigania sana hili. Sasa iweje Msigwa ndiye awe beneti na Abdul ili ampelekee hela Tundu Lissu. Story yako inakosa wanunuzi
Kuondoa huu utata Lissu apasue hili buyu aeleze ni nani alimpeleka Abdul. Ushahidi anao wa camera na nina uhakika atakuwa amerikodi mazungumzo yao,kwa vile ameamua kulianzisha ni vema alimalizie kabisa vinginevyo ataonekana anaropoka. Tunataka hili swala liishe.
 
Kipindi kile kabla kidogo na baada ya uchaguzi wa kanda ya Nyasa Msigwa alijinasibisha na Lissu kila mahali alipokuwa .. Ni kipindi ambapo Msigwa alikuwa keshafika bei na kupokea advance! Na ni kipindi ambacho alikuwa anamtafutia Lissu timing ili amsomeshe...
Haijulikani ni lini hasa Msigwa na dalali wake walimvaa Lissu lakini kwa tahadhari ile aliyoitoa Lissu akiwa kwenye mkutano wao hadhara Pale Singida kuhusu pesa chafu kwenye chaguzi za CHADEMA ni wazi ilikuwa ni kipindi hicho na mhusika mkuu alikuwa pasta mchungwaji
Pasta mchungwaji na dalali wake ni wazi walikuwa na list ndefu ya viongozi waliokwisha pokea mlungula lakini ni wazi hiyo list haikuwa genuine na pasta naye alikuwa kaingizwa cha jiji
Ni kwavile tu hatukuwa makini kumwangalia mchungwji siku ile Lissu anaongea kuhusu pesa chafu lakini mlengwa alipata taharuki kwa vyovyote

Baada ya uchaguzi pasta mchungwaji alipigwa chini na ndipo alipozidi kumganda Lissu.. Lissu akimkataa mazima na kuondoka zake Manyara then mapumzikoni Ubelgiji
Hivi anavyohangaika sasa Msigwa ni kutokana na mambo mawili makubwa
1. Kupigwa chini kwenye uchaguzi
2. Kushindwa kumshawishi Lissu apokee rushwa
Kuna mengine madogodogo lakini hayo ndio makubwa
Wenda kweli mkuu Mshana, kuna siku Mchungaji alimganda sana mwana wa Mungu Lissu, kumbe alikua na lake jambo
 
Mbona Nimesikia Wenje?
 
Nilimuomba Lissu mapema ataje aliyempelekea Abdul nikimlenga Msigwa moja kwa moja, kwa vile kikichomkimbiza Chadema ni video zake za kugawa rushwa kwenye Kanda.

Mbowe huyu anayetukanwa ndio amezuia kusambazwa Video za Aibu za Msigwa akigawa rushwa ili kumuokoa.

Hata hivyo akiendelea na ujinga tutavunja protocol
Kwanini msizipeleke kwa mamlaka Takukuru Mkuu?.

Itashangaza kama kuna hizi tuhuma za matukio yahuyo rushwa alafu Takukuru wakawa wamezipotezea hata kuwaita na kuwahoji napo wamepotezea. Itashangaza na kusikitisha sana.
 
Ni yeye aliyeeda hadi ikungi huko. Sio kila jambo utafuniwe. Fukunyua taarifa kisha potezea
Asante kwa taarifa mkuu, lakini mwenye kuweza kuthibitisha ukweli kuhusu muhusika wa tukio ni Lissu mwenyewe na nadhani kunapoendea ukweli utawekwa wazi kabisa.
 
Kwanini msizipeleke kwa mamlaka Takukuru Mkuu?.

Itashangaza kama kuna hizi tuhuma za matukio yahuyo rushwa alafu Takukuru wakawa wamezipotezea hata kuwaita na kuwahoji napo wamepotezea. Itashangaza na kusikitisha sana.
Kuna Takukuru nchi hii? hao subiri wakikamata nesi Amana akipokea rushwa ya elfu 2 ili kumuosha mgonjwa kidonda
 
Siri anabaki nayo Lissu ila naye aitoe kwenye Kamati kuu kukisafisha chama.
Tunampinga mwandishi kwa vile ukisikiliza anazungumzia huyo aliyempeleka Abdul kwake yupo CDM. Je, Msigwa yupo CDM sasa? Mshana Jr unajiangusha. Bora kuwa kimya ili utunze heshima yako
 
Ni Msigwa ila muda wa kumtaja haujatimia
Unajaribu kuhamisha lawama toka kwa "kiongozi wa chama cha upinzani" kwenda kwa Mchungaji Msigwa; jirahidi labda utafanikiwa.
Ingekuwa ni Msigwa angetajwa waziwazi ili ionyeshwe wazi kuwa ni msaliti wa chama. Watu wenye akili zao wanaweza kung'amua hilo mapema tu!
Msigwa na Lissu walikuwa kambi moja, upinzani wao ulikuwa dhidi ya kambi ya mwenyekiti, wakiituhumu kambi ya mfalme mbowe kupewa pesa na Abdul ili wazitumie kwenye uchaguzi wa ndani ya chama.
Hoja yako ni urojo mtupu, haina mashiko.
 
Kipindi kile kabla kidogo na baada ya uchaguzi wa kanda ya Nyasa Msigwa alijinasibisha na Lissu kila mahali alipokuwa .. Ni kipindi ambapo Msigwa alikuwa keshafika bei na kupokea advance! Na ni kipindi ambacho alikuwa anamtafutia Lissu timing ili amsomeshe.

Haijulikani ni lini hasa Msigwa na dalali wake walimvaa Lissu lakini kwa tahadhari ile aliyoitoa Lissu akiwa kwenye mkutano wao hadhara Pale Singida kuhusu pesa chafu kwenye chaguzi za CHADEMA ni wazi ilikuwa ni kipindi hicho na mhusika mkuu alikuwa pasta mchungwaji.

Pasta mchungwaji na dalali wake ni wazi walikuwa na list ndefu ya viongozi waliokwisha pokea mlungula lakini ni wazi hiyo list haikuwa genuine na pasta naye alikuwa kaingizwa cha jiji.

Ni kwavile tu hatukuwa makini kumwangalia mchungwji siku ile Lissu anaongea kuhusu pesa chafu lakini mlengwa alipata taharuki kwa vyovyote

Baada ya uchaguzi pasta mchungwaji alipigwa chini na ndipo alipozidi kumganda Lissu.. Lissu akimkataa mazima na kuondoka zake Manyara then mapumzikoni Ubelgiji.

Hivi anavyohangaika sasa Msigwa ni kutokana na mambo mawili makubwa
1. Kupigwa chini kwenye uchaguzi
2. Kushindwa kumshawishi Lissu apokee rushwa
Kuna mengine madogodogo lakini hayo ndio makubwa
Msigwa ndo muasisi wa rusha ndani ya chadema.
Narudia namfahamu msigwa na namjua.
Yeye ni mpenda pesa na ngoneka na kondoo wake.
Naweza kuweka ushahidi mkihitaji
 
Back
Top Bottom