Mchungaji Nurdin Abdallah jela miaka 30 kwa kumbaka mwanaye

Mchungaji Nurdin Abdallah ambae ni muinjilisti wa vitabu amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka kwa nyakati tofauti binti yake mwenye umri wa miaka 6.

Akitoa hukumu hiyo hakimu mkazi mwandamizi Erick Kimaro wa mahakama ya wilaya ya Magu amesema mahakama hiyo imejiridhisha pasipo kuwa na shaka kwamba mshtakiwa huyo ametenda kosa hilo.

Ushahidi huo umethibitishwa kupitia mashahidi ambao ni mtoto aliyekuwa anabakwa pamoja na Ushahidi wa daktari aliyeithibitishia mahakama hiyo kuwa ni kweli sehemu za siri za binti huyo zilikuwa zinaonesha ameingiliwa.
View attachment 2595415

Zaidi, soma: Mchungaji Nurdin Abdallah afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa miaka 6
huyu mtumishi kimekuta nini aisee?
 
Jina nani? 😡😡😡😡
 
Nuruddin bin Abdallah, yaani; Mwangaza wa dini bin Mtumishi wa Allah.

Kwa kitendo alichofanya hata hilo jina la "Nuruddin" anatakiwa anyang'anywe.
 
Ila wanaume!!
Si mnasemaga zipo mpaka za buku3, sasa huyo mjomba Abdallah ilikuwaje?

Mnatutisha wakuu, tutaogopa kuwaacha nyumbani na watoto.
Kafanya haya kama kafara la kupata waumin kanisani kwake. Waumini wengi = hela za sadaka nyingi
 
Ila wanaume!!
Si mnasemaga zipo mpaka za buku3, sasa huyo mjomba Abdallah ilikuwaje?

Mnatutisha wakuu, tutaogopa kuwaacha nyumbani na watoto.
Waganga wanawaponza hawa wanaofanya huu ushwetani, za buku 2 pia zipo sijui wanakwama wapi
 
Ila wanaume!!
Si mnasemaga zipo mpaka za buku3, sasa huyo mjomba Abdallah ilikuwaje?

Mnatutisha wakuu, tutaogopa kuwaacha nyumbani na watoto.
Jamaa ina onekana alifuata mnato, ila mnato kwa mtoto aisee hiyo ni mbaya sana .
Depal wewe una mnato ?! Ni heri angekuja kwako tuu mtu mzima mwenzake kuliko kwa mtoto
 
imechafua kuita mvhungaji

ilihar majina yake yote kiislam

huonuchungaji wa kanisa gani?
 
Back
Top Bottom