Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Naona anajitengenezea maslai yake binafsi huyu! Hana lolote la maana
Bora aingie kwenye mafungu ya kuwasaidia waumini wake yeye ndio anahangahika kuwaga!
=================
Mchungaji Nyuki amejitokeza kuwa miongoni mwa wachungaji waliotoa mchango wao wa kipekee kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia muziki. Akiwa na wito wa kisiasa na kijamii, Mchungaji Nyuki amekipamba chama hicho kwa wimbo maalumu wa siasa unaolenga kuhamasisha mshikamano na mshikikano wa kitaifa.
Hatua hii imezua mjadala miongoni mwa wadau wa dini na siasa, huku baadhi wakisifu ubunifu huo kama njia mpya ya kuunganisha jamii kupitia muziki, na wengine wakijadili nafasi ya viongozi wa kiroho katika masuala ya kisiasa.