Chakandumuz wamejinyonga wenyeweChadema imeshakufa...
Kweli njaa mbaya. Kapigwa na jua kitaa kaona arudi Tena... Msigwa kwani Mungu kakutuma. Kuchunga bunge au? Pasipo maono watu huangamia!Mchungaji msigwa hahahaha
Utajua hujui 😁
Hadi sasa CCM haina Wagombea wa uhakika naona hawa Wakinga tu Msigwa na mwanae VunjabeiKwamba mgombea kupitia chadema atashinda?
chukua fomuNitagombea kupitia Chadema 😁
Hawajaanza kutoachukua fomu
Chongoro anaenda jimbo gani??Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini 2010 - 2020 Mchungaji Peter Msigwa amechukua fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini katika ofisi za CCM wilaya na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa mjini Hassan Makoba.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu Mchungaji Msigwa alisema kuwa jimbo la Iringa mjini linahitaji kiongozi ambaye ataweza wasemea wananchi katika changamoto ambazo wanakabiliana nazo.
Ushauri wangu awahi Chaumwa chap apate jimbo bila kashikashi 😎Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini 2010 - 2020 Mchungaji Peter Msigwa amechukua fomu za kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini katika ofisi za CCM wilaya na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Iringa mjini Hassan Makoba.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu Mchungaji Msigwa alisema kuwa jimbo la Iringa mjini linahitaji kiongozi ambaye ataweza wasemea wananchi katika changamoto ambazo wanakabiliana nazo.
si wanatoa 2030 sio mbalHawajaanza kutoa