PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa achukua Fomu kugombea Jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mchungaji msigwa hahahaha
Kweli njaa mbaya. Kapigwa na jua kitaa kaona arudi Tena... Msigwa kwani Mungu kakutuma. Kuchunga bunge au? Pasipo maono watu huangamia!

Bungeni Kuna laana, wachungaji wakiingia tu wa arudi kuwa mbuzi kabisaa...!
 
Siyo rahisi kupenya hao walioingia CCM hivi karibuni kupitia kura za wajumbe.
Itawesekana na uongozi wa CCM utawapa upendeleo.
 
Kwamba mgombea kupitia chadema atashinda?
Hadi sasa CCM haina Wagombea wa uhakika naona hawa Wakinga tu Msigwa na mwanae Vunjabei

Tusubiri wiki 2 zijazo JJ Mnyika atakaposaini Maadili Chadema waibuke kutoka Tehran

Siasa ni sayansi 😂😂🇹🇿
 
Chongoro anaenda jimbo gani??
Kama ni hilo hilo msigwa ahesabu maumivu
 
Ushauri wangu awahi Chaumwa chap apate jimbo bila kashikashi 😎
 
Aliekua mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia cha cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mchungaji Peter msigwa amechukua ramsi fomu ya kugombea tena ubunge wa Jimbo hilo la Iringa mjini kupitia chama cha mapinduzi ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…