Mpe muda ccm irakufurahishaMsigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake. Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya. Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo, akiwa CHADEMA hawezi kuaminika kwa sababu atakuwa hana msimamo.
Na wewe na msigwa tofauti yenu jinsia?Tofauti yako ya wewe na Msigwa ni dini tu.
Kapoteza relevance Kama Lissu wake.Msigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake.
Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya.
Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo, akiwa CHADEMA hawezi kuaminika kwa sababu atakuwa hana msimamo.
Na wewe na msigwa tofauti yenu jinsia?
Joyce Mukya bado tu unaomboleza? Mbona Mr. wako amekubali yaishe na maisha yanaendelea?Kapoteza relevance Kama Lissu wake.
Amebanwa katikati ya mapaja yake mwenyewe.Msigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake.
Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya.
Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo, akiwa CHADEMA hawezi kuaminika kwa sababu atakuwa hana msimamo.
Msigwa anapigania uhai wake hapo na ibada za sanamu mpaka atachoka.View attachment 3227753Tofauti hiyo hapo kama utakuwa huna single digit IQ utaelewa.
Mwambie Msigwa ampelekee Lissu hicho alichokibebaView attachment 3227753Tofauti hiyo hapo kama utakuwa huna single digit IQ utaelewa.
Huyo ni kada mwenzako ujue huko mbogambogaMsigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake.
Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya.
Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo, akiwa CHADEMA hawezi kuaminika kwa sababu atakuwa hana msimamo.
Msigwa Yuko kifaida tuMsigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake.
Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya.
Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo, akiwa CHADEMA hawezi kuaminika kwa sababu atakuwa hana msimamo.
Msigwa ni tapeli tuMsigwa Yuko kifaida tu