Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa atashika wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake.

Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya.

Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo, akiwa CHADEMA hawezi kuaminika kwa sababu atakuwa hana msimamo.
Kapoteza relevance Kama Lissu wake.
 
Na wewe na msigwa tofauti yenu jinsia?
IMG_20241220_112508.jpg
Tofauti hiyo hapo kama utakuwa huna single digit IQ utaelewa.
 
Msigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake.

Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya.

Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo, akiwa CHADEMA hawezi kuaminika kwa sababu atakuwa hana msimamo.
Amebanwa katikati ya mapaja yake mwenyewe.
 
Msigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake.

Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya.

Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo, akiwa CHADEMA hawezi kuaminika kwa sababu atakuwa hana msimamo.
Huyo ni kada mwenzako ujue huko mbogamboga
 
Msigwa hivi sasa inaonekana siasa imekuwa ngumu kwake.

Lissu anaogopa kumkosoa huku CCM akiwa hana cha kufanya.

Akirudi CHADEMA haaminiwi tena, maana hawezi kuikosoa CCM tena kama mwanzo, akiwa CHADEMA hawezi kuaminika kwa sababu atakuwa hana msimamo.
Msigwa Yuko kifaida tu
 
Back
Top Bottom