Mchungaji Peter Msigwa Awatupia CHADEMA Vijembe vya Moto

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Ndivyo Mtumishi wa Mungu peter Msigwa alivyowatupia vijembe CHADEMA

Watu wanapenda kujiita makamanda hapa kwa mitandao (keyboar heros) wamemuacha mwamba anaandamana pekee yake hata watu hamsini hawakufika magomeni. Wapi mwita , Cathetine, maranja,Lutembeka, mwenyekiti wa kanda ya Nyasa wapi Taita! Wapi Big mungai!Hata kama mtachukia hii inasema kitu.Tuna Tanzania ya kuijenga.Niltegemea wale watoa matusi hapa wangekuwa wa kwanza kufika magomeni



Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Soma Pia: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
 
CCM Chama cha Mashoga
 


Huyu ndo anakaanga wenzake.
 
Si wametii Sheria bila shuruti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…