KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Mtumishi wa Mungu peter Msigwa alivyowatupia vijembe CHADEMA
Watu wanapenda kujiita makamanda hapa kwa mitandao (keyboar heros) wamemuacha mwamba anaandamana pekee yake hata watu hamsini hawakufika magomeni. Wapi mwita , Cathetine, maranja,Lutembeka, mwenyekiti wa kanda ya Nyasa wapi Taita! Wapi Big mungai!Hata kama mtachukia hii inasema kitu.Tuna Tanzania ya kuijenga.Niltegemea wale watoa matusi hapa wangekuwa wa kwanza kufika magomeni
![]()
![]()
![]()
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Soma Pia: Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024