Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Salama
Chadema ni kama ni chama ambacho ni cha kuchezea sarakasi watu kama akina Peter Msingwa mlitakiwa msiwapokee ,Kama alitaka kurudi angeenda Chauma au chama kingine
Kuruhusu hizi mienendo mtakuja kuwakaribisha mamluki badae mnakuja kutafuta sympathy kwa watu kumbe mambo mnayatengeneza wenyewe .