Covid 19 itabidi nao warudi Kwa style ya msigwa na Selasin. Huu mchezo ni deep sana. Mi Naona kwa jicho la pembeni kwamba, Hawa akina msigwa na selasin wanapima upepo Kwa niaba ya Covid 19.
Watacho fanya ni kufuta kesi, kuomba msamaha na kufuata “taratibu” za Chama - Kama wengine wanavyo fanya. System inaitesa sana cdm. Inataka sasa cdm ipambane yenyewe kwa yenyewe.