Mchungaji Peter Msigwa: Nchi inaendeshwa kwa mifumo. Mifumo ikiwa imara itamnyoosha Rais atakaa kwenye line

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079

​
"Rais anapaswa asimamie mifumo. Nchi inaendeshwa kwa mifumo iliyo thabiti. Hatuhitaji kuwa na Rais msikivu au sio msikivu. Akipatikana Rais ambaye ni msikivu au sio msikivu, mifumo ikiwa imara itamnyosha atakaa kwenye line.

Tunataka tutengeneze mifumo ya kujitegemea; serikali ikae kama serikali, bunge likae kama bunge, Serikali ina inaongoza dola.

Chombo pekee kinachotoa haki kwa mujibu wa katiba yetu, ni mahakama. Sasa haki hii isiwe fadhila au huruma ya kiongozi wa nchi unaye sema kwamba anaweza kuwa na ni msikivu. Haijalishi awe msikivu au asiwe msikivu."

Ukiangalia kwa mfano Marekani, Trump sio msikivu, lakini kwa sababu eh taasisi ziko imara, akitoa amri ambayo inaenda kinyume wanamkatalia kwamba hii hatutatekeleza. Na vyombo hivi vya usalama vipo kulinda katiba. Vipo kulinda taasisi, havipo kumlinda mtu kwa sababu hao watu huwa wanaondoka.

Kwa hiyo, ushauri naoweza kumpa Rais ni kwamba aimarishe mahakama ziwe huru, serikali iwe inaweza kushtakiwa na iwe inashindwa kesi. Ahakikishe nchi hii ya kidemokrasia, demokrasia ifanye kazi yake. Haya ndio... ndio majukumu makubwa ambayo naweza kumshauri kwamba bunge liwe ni bunge la kuisimamia serikali.

Mifumo, ndio maana unakuta tunaye Waziri Mkuu naye anahangaika, ukiangalia kutoka pale juu mpaka huku kwa mwenyekiti, kwa mtendaji wa kitongoji kuna mifumo imewekwa. Lakini hii mifumo imekuwa dhaifu kwa sababu yule aliyopewa mamlaka anaweza akapigiwa simu na yeyote; anaweza akapigiwa simu na mwenyekiti wa CCM kwamba 'hilo usifanye' akalitii, ambaye hayumo kwenye mfululizo. Anaweza akapigiwa simu na mtu yeyote ambaye hayuko kwenye mfumo akatii. Kwa hiyo matokeo yake kumekuwa na shagalabagala kiasi kwamba kwa sababu mifumo hii haifuatwi. Kwa hiyo mifumo hii ina nguvu"
 
"Rais anapaswa asimamie mifumo. Nchi inaendeshwa kwa mifumo iliyo thabiti. Hatuhitaji kuwa na Rais msikivu au sio msikivu. Akipatikana Rais ambaye ni msikivu au sio msikivu, mifumo ikiwa imara itamnyosha atakaa kwenye line.

Tunataka tutengeneze mifumo ya kujitegemea; serikali ikae kama serikali, bunge likae kama bunge, Serikali ina inaongoza dola.

Chombo pekee kinachotoa haki kwa mujibu wa katiba yetu, ni mahakama. Sasa haki hii isiwe fadhila au huruma ya kiongozi wa nchi unaye sema kwamba anaweza kuwa na ni msikivu. Haijalishi awe msikivu au asiwe msikivu."

Ukiangalia kwa mfano Marekani, Trump sio msikivu, lakini kwa sababu eh taasisi ziko imara, akitoa amri ambayo inaenda kinyume wanamkatalia kwamba hii hatutatekeleza. Na vyombo hivi vya usalama vipo kulinda katiba. Vipo kulinda taasisi, havipo kumlinda mtu kwa sababu hao watu huwa wanaondoka.

Kwa hiyo, ushauri naoweza kumpa Rais ni kwamba aimarishe mahakama ziwe huru, serikali iwe inaweza kushtakiwa na iwe inashindwa kesi. Ahakikishe nchi hii ya kidemokrasia, demokrasia ifanye kazi yake. Haya ndio... ndio majukumu makubwa ambayo naweza kumshauri kwamba bunge liwe ni bunge la kuisimamia serikali.

Mifumo, ndio maana unakuta tunaye Waziri Mkuu naye anahangaika. Eh ukiangalia kutoka pale juu mpaka huku kwa mwenyekiti wa... kwa mtendaji wa kitongoji kuna mifumo imewekwa. Lakini hii mifumo imekuwa dhaifu kwa sababu yule aliyopewa mamlaka anaweza akapigiwa simu na yeyote; anaweza akapigiwa simu na mwenyekiti wa CCM kwamba 'hilo usifanye' akalitii, ambaye hayumo kwenye mfululizo. Anaweza akapigiwa simu na mtu yeyote ambaye hayuko kwenye mfumo akatii. Kwa hiyo matokeo yake kumekuwa na shagalabagala kiasi kwamba eh eh kwa sababu mifumo hii haifuatwi. Kwa hiyo mifumo hii ina nguvu"
nonsense 🐒
 
Nasubili maoni ya bwana @tlaaatlaa sijui nini kale kajamaa kanakopewa bukusaba lumumba oya msigwa nazan wamekubinya pumbu au wamekutoa kwenye ulambaji?
 
Hakanaga akili yye na wanafanana naye
 
Halafu unalipwa ? Kweli pesa zetu mnazila kibwege kweli Ila ipo siku yenu mtazitapika shenzi nyinyi
nadhani inapendeza zaidi kujikita kwenye hiyo hoja nonsense jukwaani,

kuliko kumbwelambwela vitu useless jukwaani gentleman 🐒
 
UKWELIunauma Ila yapaswa tuwaambie mnakula Kodi zetu kibwege kweli siku yenu yaja washenzi nyie
 
Back
Top Bottom