johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Baadhi ya waumini wa Mikocheni " B" Assemblies of god wamesema Mchungaji wao Askofu Rwakatare hajawahi kuingia bungeni hivyo madai ya kushangilia mbunge wa Kigoma mjini auawe ni uzushi.
Waumini hao wamesema kuna tofauti kubwa kati ya Mchungaji Rwakatare na mbunge Rwakatare japokuwa ni mtu yule yule.
Wamedai anapoingia bungeni uchungaji anauavha nje ya bunge maana ndani ya bunge wanasujudia SIWA kitu ambacho siyo mafundisho ya Biblia.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Soma: Mama Lwakatare kupiga makofi bungeni kuunga mkono ya msaliti auawe kunatufundisha nini?