johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Wewe hujawaelewa bwashee?........ Naona hapo Moshi " Ukibaka" ni shughuli halali nao walienda kukanyaga mafuta kwa Mwamposya!Na wewe kwa maelezo hayo umewa elewa hao Wafuasi wake !!!?
🙄🙄🙄 Jinga kabisa ..
Ndio kama ambavyo unaweza kuwa CCM mchana na usiku uko Chadema!
Kwani guest wanasujudu!?Kwahiyo mama lwakatare akifumaniwa guest watasema yule wa guest sio mchungaji wao pumbaaaaaav
Baadhi ya waumini wa Mikocheni " B" Assemblies of god wamesema Mchungaji wao Askofu Rwakatare hajawahi kuingia bungeni hivyo madai ya kushangilia mbunge wa Kigoma mjini auawe ni uzushi.
Waumini hao wamesema kuna tofauti kubwa kati ya Mchungaji Rwakatare na mbunge Rwakatare japokuwa ni mtu yule yule.
Wamedai anapoingia bungeni uchungaji anauavha nje ya bunge maana ndani ya bunge wanasujudia SIWA kitu ambacho siyo mafundisho ya Biblia.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa........ Huyo ni mbunge Rwakatare bwashee!
Ndio kama ambavyo unaweza kuwa CCM mchana na usiku uko Chadema!
Wewe hujawaelewa bwashee?........ Naona hapo Moshi " Ukibaka" ni shughuli halali nao walienda kukanyaga mafuta kwa Mwamposya!
Haya kawaambie mnaolingana ujinga.Baadhi ya waumini wa Mikocheni " B" Assemblies of god wamesema Mchungaji wao Askofu Rwakatare hajawahi kuingia bungeni hivyo madai ya kushangilia mbunge wa Kigoma mjini auawe ni uzushi.
Waumini hao wamesema kuna tofauti kubwa kati ya Mchungaji Rwakatare na mbunge Rwakatare japokuwa ni mtu yule yule.
Wamedai anapoingia bungeni uchungaji anauavha nje ya bunge maana ndani ya bunge wanasujudia SIWA kitu ambacho siyo mafundisho ya Biblia.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu; tena, kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao.Baadhi ya waumini wa Mikocheni " B" Assemblies of god wamesema Mchungaji wao Askofu Rwakatare hajawahi kuingia bungeni hivyo madai ya kushangilia mbunge wa Kigoma mjini auawe ni uzushi.
Waumini hao wamesema kuna tofauti kubwa kati ya Mchungaji Rwakatare na mbunge Rwakatare japokuwa ni mtu yule yule.
Wamedai anapoingia bungeni uchungaji anauavha nje ya bunge maana ndani ya bunge wanasujudia SIWA kitu ambacho siyo mafundisho ya Biblia.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
hopelessBaadhi ya waumini wa Mikocheni " B" Assemblies of god wamesema Mchungaji wao Askofu Rwakatare hajawahi kuingia bungeni hivyo madai ya kushangilia mbunge wa Kigoma mjini auawe ni uzushi.
Waumini hao wamesema kuna tofauti kubwa kati ya Mchungaji Rwakatare na mbunge Rwakatare japokuwa ni mtu yule yule.
Wamedai anapoingia bungeni uchungaji anauavha nje ya bunge maana ndani ya bunge wanasujudia SIWA kitu ambacho siyo mafundisho ya Biblia.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa........ Huyo ni mbunge Rwakatare bwashee!
na wewe dada Fatuma bana.....una mambo!Baadhi ya waumini wa Mikocheni " B" Assemblies of god wamesema Mchungaji wao Askofu Rwakatare hajawahi kuingia bungeni hivyo madai ya kushangilia mbunge wa Kigoma mjini auawe ni uzushi.