Mchungaji Rwakatare hajashangilia Zitto kuuawa acheni kumzushia

KAMA UNA POCHI IACHE WAZI Pepoo WA kisulisuli analeta helaa
 

Attachments

  • VID-20200204-WA0027.mp4
    5.2 MB
Yule muuaji mkuu leo alikuwa anasema Zitto ana akili za kuvalia nguo tu

Ukiona hivyo ujue faili la Zitto limeshatua mezani kwa hiyo Zitto akipotea tutaambiwa watu wasiojulikana watakuwa wanahusika

Na tokea tupigwe mkwara kuwa mtu akipotea tusiwasingizie vyombo vya usalama basi tena
 
Nasema kwa akili hizi mitume endeleeni kumwaga mafuta ya upako wakanyagane wafe .pumbavu sana
 
Du mtoa mada kweli umenishangaza,Rwakatare wa Bungeni ni tofauti na wa Kanisani japo mwili ni ule ule? Haya bwana tunamtakia kila la heri ktk kumwaga damu ya Zitto Mungu amemsikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani Kama ntakuwa nje ya Mada.
Ila kwa faida yangu na yamkini na wengine Kama Mimi. Samahani ndugu. Kama unaweza kunielewesha.
" Huyu mmama Ana mume" ?
Samahani naomba unieleweshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mme alishafariki alikuwa ni muumini wa Anglican church pale St Alban posta mpya!

Wakati anafariki walikuwa wameshaachana!
 
Ukiwa muumini wa haya madhehebu basi akili unamkabidhi mchungaji. Sorry kama imekugusa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo akienda baa uchungaji anauvua nje ya baa ,anaingia kufanya mambos na kuvinjari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…