USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Huyu mtumishi Suzan John Pombe Magufuli ni nani huko Dar es Salaam
Ni mke mdogo wa hayati magufuli?
Ni mtoto wa hayati?
Ni dada,mdogo wake magufuli ?
Ndio yule aliyehongwa Nyumba ya serikali?
Nivyojua ndugu za magufuli ni weusi kwa maana ya ukoo na watoto aliozaa na Janet Jonh Pombe Magufuli?
Jamii forum ni uwanja mpana je huyu mchungaji ni nani katika ukoo huo ?