Mchungaji wa KKKT, Elieth Mtaita ametekwa usiku wa Oktaba 24 na Watu wasiojulikana

Mchungaji wa KKKT, Elieth Mtaita ametekwa usiku wa Oktaba 24 na Watu wasiojulikana

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Usiku wa Oktoba 24, Mchungaji Elieth Eliawaha Mtaita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay katika Jimbo la Babati Vijijini, mkoani Manyara, ametekwa na watu wasiojulikana.

Soma: Albert Machumu wa CHADEMA adaiwa kutekwa leo asubuhi akiwa kazini kwake

Taarifa zinaeleza kuwa watu hao, waliokuwa na silaha, walivamia makazi ya Mchungaji Mtaita na kumchukua kwa nguvu kabla ya kumpakia kwenye gari aina ya Land Cruiser isiyokuwa na namba za usajili na kuondoka naye kusikojulikana.

Hadi sasa, haijajulikana alikopelekwa Mchungaji huyo, na vyombo vya usalama vinaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Tukio hili limezua hofu na maswali mengi miongoni mwa waumini na wakazi wa eneo hilo.

-880844783.jpg
 
Aisee
JPM tunakukumbuka baba 🙌

Haya, waandamanaji wa online njooni mnikosoe 😎
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Thubutu tu
 
Usiku wa Oktoba 24, Mchungaji Elieth Eliawaha Mtaita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay katika Jimbo la Babati Vijijini, mkoani Manyara, ametekwa na watu wasiojulikana.

Soma: Albert Machumu wa CHADEMA adaiwa kutekwa leo asubuhi akiwa kazini kwake

Taarifa zinaeleza kuwa watu hao, waliokuwa na silaha, walivamia makazi ya Mchungaji Mtaita na kumchukua kwa nguvu kabla ya kumpakia kwenye gari aina ya Land Cruiser isiyokuwa na namba za usajili na kuondoka naye kusikojulikana.

Hadi sasa, haijajulikana alikopelekwa Mchungaji huyo, na vyombo vya usalama vinaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Tukio hili limezua hofu na maswali mengi miongoni mwa waumini na wakazi wa eneo hilo.

1761369882245.png
 
Jamani kwani shida nini? Mbona kila mtu anatekwa sasa?
 
safi sana watekaji, yule fala Malasusa si alikuwa anajidai hajazaliwa kuipinga serikali. Ni upumbavu kiongozi wa kanisa kuwa chawa haya sasa leo mchungaji wake katekwa sijui atakausha kama vile hakijatokea kitu.
Malasusa fala tu yule saiv atakua bize kucoordinate semina za vijana
 
yule fala Malasusa si alikuwa anajidai hajazaliwa kuipinga serikali. Ni upumbavu kiongozi wa kanisa kuwa chawa haya sasa leo mchungaji wake katekwa sijui atakausha kama vile hakijatokea kitu.
Ukute alishirikishwa akaafiki kabla ya tukio kutekelezwa. Machawa wote hawaaminiki
 
Huyo ndiye muasisi wa hayo mambo.
Mbegu aliyopanda imestawi na kukomaa, na hayo ndo mavuno sasa
Upo sahihi mkuu, na haya yanayoendelea anayafanya yeye akiwa mfu, na hata enzi za Kikwete watu walitolewa meno mana JPM ndo alikuwa rais enzi za Kikwete 😂 samia anaonewa tuu 😎
 
Usiku wa jana Oktoba 24, 2025 watu wasiojulikana wamemteka Mchungaji Elieth Eliawaha Mtaita wa Kanisa KKKT Usharika wa Boay jimbo la Babati Vijijini - Manyara

Watu hao wakiwa na silaha walivamia makazi ya Mchungaji Mtaita na kumteka kisha wakampakia kwenye gari aina ya Landcruiser ambayo haina plate number na kuondoka nae.

Soma pia: Mchungaji Mwl Steven Jacob atekwa na watu wasiojulikana

1761375623674.png
 
Habari za utekaji na mauaji zinawekwa chini ya
GENERAL ELECTION 2025.

Basi tuambieni huyu Pastor anagombea kata gani au ni campaign manager wa nani, au amemu endorse mgombea gani ????

Wakina Soka, Kaswahili, Kipanya, Kibao, walitekwa wakati wa uchaguzi ???

Yani ni kama tunasubiri Oct 30 mauaji yatakwisha, kila kitu kitatulia.

JF Editors acheni ku present vitu kwa kukariri.
 
Back
Top Bottom