Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,248
- 18,435
Cha kujitoa ufahamu, hujasoma kuwa alikuwa akiwahamasisha waumini wasiende kupiga kura? Bado huoni uhusiano wa kura utekaji huo?Habari za utekaji na mauaji zinawekwa chini ya title
GENERAL ELECTION 2025.
Basi tuambiani huyu Pastor anahusikaje na uchaguzi ????
Wakina Soka, Kaswahili, Kipanya, Kibao, walitekwa wakati wa uchaguzi ???
Yani ni kama tunasubiri Oct 30 mauaji yatakwisha, kila kitu kitatulia.
JF Editors acheni ku present vitu kwa kukariri.
we ndondocha kwan akikamatwa na kupelekwa mahakaman hawez kutwa na hatia kwaiyo ukiwaambia watu waspge kura suluhisho ni kutekwa au siyo.A
Cha kujitoa ufahamu, hujasoma kuwa alikuwa akiwahamasisha waumini wasiende kupiga kura? Bado huoni uhusiano wa kura utekaji huo?
Siku zimebaki 4 ili ujifiche juu ya dariUzuri ni kwamba siku zimebaki 4 tu, labda watuteke watu wote
Kinachonisikitisha hakuna mtu atatoka kuandamana ukute hata weye kura utaenda kupigaUzuri ni kwamba siku zimebaki 4 tu, labda watuteke watu wote
Sijifichi natoka kuandamanaSiku zimebaki 4 ili ujifiche juu ya dari
Huo upuuzi sifanyi, natatoka kuandamana mapema sanaKinachonisikitisha hakuna mtu atatoka kuandamana ukute hata weye kura utaenda kupiga
Hadi sasa, haijajulikana alikopelekwa Mchungaji huyo, na vyombo vya usalama vinaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Tukio hili limezua hofu na maswali mengi miongoni mwa waumini na wakazi wa eneo hilo.Usiku wa Oktoba 24, Mchungaji Elieth Eliawaha Mtaita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay katika Jimbo la Babati Vijijini, mkoani Manyara, ametekwa na watu wasiojulikana.
Soma: Albert Machumu wa CHADEMA adaiwa kutekwa leo asubuhi akiwa kazini kwake
Taarifa zinaeleza kuwa watu hao, waliokuwa na silaha, walivamia makazi ya Mchungaji Mtaita na kumchukua kwa nguvu kabla ya kumpakia kwenye gari aina ya Land Cruiser isiyokuwa na namba za usajili na kuondoka naye kusikojulikana.
Hadi sasa, haijajulikana alikopelekwa Mchungaji huyo, na vyombo vya usalama vinaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Tukio hili limezua hofu na maswali mengi miongoni mwa waumini na wakazi wa eneo hilo.
Tumuulize saa100Jamani kwani shida nini? Mbona kila mtu anatekwa sasa?
Atakuwa Lucha ndo kamteka.Usiku wa Oktoba 24, Mchungaji Elieth Eliawaha Mtaita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay katika Jimbo la Babati Vijijini, mkoani Manyara, ametekwa na watu wasiojulikana.
Soma: Albert Machumu wa CHADEMA adaiwa kutekwa leo asubuhi akiwa kazini kwake
Taarifa zinaeleza kuwa watu hao, waliokuwa na silaha, walivamia makazi ya Mchungaji Mtaita na kumchukua kwa nguvu kabla ya kumpakia kwenye gari aina ya Land Cruiser isiyokuwa na namba za usajili na kuondoka naye kusikojulikana.
Hadi sasa, haijajulikana alikopelekwa Mchungaji huyo, na vyombo vya usalama vinaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. Tukio hili limezua hofu na maswali mengi miongoni mwa waumini na wakazi wa eneo hilo.
Wapi hapo pameandikwa alikuwa anahamasisha watu wasipige kura ? Wapiiiii ??????Cha kujitoa ufahamu, hujasoma kuwa alikuwa akiwahamasisha waumini wasiende kupiga kura?
Alishasema hakuna nywi nywi nywi wala nywa nywa nywa, ukileta fyoko fyoko unafyokolewa.Unacheka kama mazuri. Wameshasepa na mtu tayari.Hivi kuna mahali wanawaweka au? Kama ni kuwaua mbona ni wengi sana kwa hii Octoba pekee. Hatari sana