tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Atasema nini' wakati wasanii hawajaenda kwenye mikutano ya chadema na badala yake wameenda kwenye mikutano ya ccm Huku Raisi mwenyewe akiitwa Samia na sio Clara au Rose?!!!!Mchungaji ashangazwa na kitendo cha wasanii wa bongofleva na bongomovie kulundikana kwenye mikutano ya siasa,adai kwasasa wamekuwa sio vioo vya jamii tena bali ni vyoo vya jamii. Neno moja kwake
Soma pia: Kwa nini wasanii na masheikh ndio wamekuwa mstari wa mbele kujibu mashambulizi?
View attachment 3487441
Crap crom crippled brain. Wahi matibabu.Atasema nini' wakati wasanii hawajaenda kwenye mikutano ya chadema na badala yake wameenda kwenye mikutano ya ccm Huku Raisi mwenyewe akiitwa Samia na sio Clara au Rose?!!!!
Angalao msanii aende tu apige show aondoke kama alivyofanya jux. Tunaweza kueleweka kwamba alienda kufanya kazi tu kujipatia ugali wa familia. Sasa wakina diamond na dimpoz wanatukejeli kabisa kwamba tuache kulalamika tufanye kazi kama vile masuala ya tozo, ufisadi, utekaji na mauaji kwa raia wao hawayaoniBinafsi ninawapongeza sana wale wasanii wa bongo fleva na bongo muvi wanaojitambua na ambao wamechagua kwa namna moja au nyingine kuwa neutral, huku wakitambua fika wana mashabiki wenye itikadi tofauti za kisiasa, na wengune wakiwa hawajihusishi kabisa na siasa.
Hao wapuuzi wengine ndiyo hao sasa wamegeuka kuwa vyoo vya ccm.
kumbe ukiambiwa ufanye kazi unakua umetukanwaAngalao msanii aende tu apige show aondoke kama alivyofanya jux. Tunaweza kueleweka kwamba alienda kufanya kazi tu kujipatia ugali wa familia. Sasa wakina diamond na dimpoz wanatukejeli kabisa kwamba tuache kulalamika tufanye kazi kama vile masuala ya tozo, ufisadi, utekaji na mauaji kwa raia wao hawayaoni
Hakuna mtu mzima ambaye hajui kwamba anatakiwa kufanya kazi ili kupata mahitaji yake. Serikali inawajibika moja kwa moja kutengeneza na kurahisisha hayo mazingira ya kufanya kazi, unavyowaletea raia ongezeko la kodi na tozo kila huku kukiwa hakuna reflection ya hizo hela kutumika kwa ufanisi lazima watalalamika tu. Vilevile kuna masuala mengine pia yanalalamikiwa na wananchi mfano mauaji na utekaji wa raiakumbe ukiambiwa ufanye kazi unakua umetukanwa
unaonaje katika kumtia moyo mchungaji, uache kusapoti ushoga?Mchungaji yuko sahihi,
Hili linazungumzika.unaonaje katika kumtia moyo mchungaji, uache kusapoti ushoga?
π π πkumbe ukiambiwa ufanye kazi unakua umetukanwa