GE2025 Mchungaji: Wasanii wa sasa wamekuwa vyoo vya jamii na sio vioo vya jamii

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna mtu mzima ambaye hajui kwamba anatakiwa kufanya kazi ili kupata mahitaji yake. Serikali inawajibika moja kwa moja kutengeneza na kurahisisha hayo mazingira ya kufanya kazi, unavyowaletea raia ongezeko la kodi na tozo kila huku kukiwa hakuna reflection ya hizo hela kutumika kwa ufanisi lazima watalalamika tu. Vilevile kuna masuala mengine pia yanalalamikiwa na wananchi mfano mauaji na utekaji wa raia
Kasema acheni kulalamika fanyeni kazi anamaanisha kuwa mabando yenu mnatumia vibaya kwenye kulalamika badala ya kuwekeza zaidi kufanya kazi hapo sijaona shida yoyote ni vile sisi hatupendi kazi
 
Serikali inawajibika kuboresha mazingira ya kufanya kazi. Unapowaletea wananchi kodi na tozo kila uchwao, wakati hakuna reflection ya hizo kodi katika kuleta unafuu wa maisha basi lazima wananchi watalalamika
 
Kwahiyo Kama serikali haitaboresha mazingira mazuri so wewe hautafanya kazi? Hivi unafikiri hata huko kwenye mziki serikali imefanya Nini? Lakini si umeona Diamond katoboa Je angekuwa anafikra Kama yako hasijitume au asiongeze juhudi kwenye kazi yake unadhani angefika hapo halipo? Hii ndio point yake kuu aliyoilenga kwa raia
 
Kwahiyo Kama serikali haitaboresha mazingira mazuri so wewe hautafanya kazi?
Kwanini isiboreshe mazingira, kwamba serikali haina uwezo au kufanya hivyo ni hisani?. Embu nipe sababu moja ya kuhalalisha serikali kuamua kutoboresha mazingira ya kazi kwa wananchi wake
Hivi unafikiri hata huko kwenye mziki serikali imefanya Nini? Lakini si umeona Diamond katoboa Je angekuwa anafikra Kama yako hasijitume au asiongeze juhudi kwenye kazi yake unadhani angefika hapo halipo? Hii ndio point yake kuu aliyoilenga kwa raia
Kazi wananchi wanafanya na pale ambapo kuna mapungufu ndipo wanalalamika ili waliopo kwenye nafasi wachukue hatua, mfano juzi juzi baada ya wananchi kuonyesha hasira zao kuhusu usafiri wa mwendokasi tumeona kuna mabasi mapya yameanza kazi ya kubeba abiria
 
Huyu mchungaji ni mpumbavu na mdini. Atafune sadaka za wajinga bila kukejeli makundi mengine. Hao wasanii wamemwingilia kwenye kazi yake haramu ya kutafuna hela za maskini kwa kisingizio cha sadaka?
 
Kwanini isiboreshe mazingira, kwamba serikali haina uwezo au kufanya hivyo ni hisani?. Embu nipe sababu moja ya kuhalalisha serikali kuamua kutoboresha mazingira ya kazi kwa wananchi wake

Kazi wananchi wanafanya na pale ambapo kuna mapungufu ndipo wanalalamika ili waliopo kwenye nafasi wachukue hatua, mfano juzi juzi baada ya wananchi kuonyesha hasira zao kuhusu usafiri wa mwendokasi tumeona kuna mabasi mapya yameanza kazi ya kubeba abiria
Wabongo wengi ni wavivu wa kazi hiyo ndio nature yetu na hata hiyo Hali ya mwendokasi unsyosema pia imechangiwa kuwa na watumishi wasiojua wajibu wao yaani sisi wazuri kwenye kuiba bado kauli ya diamond inasimama pale pale fanyeni kazi mafanikio yanakuja kwa kuipenda Kwanza kazi yako, kuiheshima na kuongeza juhudi na maarifa ndio mafanikio huwa yanakuja
 
Kuna watu ni workaholic. Sio kwamba ana maisha magumu au ana usongo sana isipokua kufanya kazi sana ndio asili yake, sasa ukitaka watu wote wawe na kipimo sawa cha ufanyaji kazi hiyo haiwezekani. Muhimu tu kila mmoja kama mtu mzima anajua wajibu wake wa kufanya kazi ili ajihudumie mahitaji yake.

Serikali pia ina sehemu kubwa sana ya kufanikisha ilo kupitia sera na uwajibaki. Hata uiende kazi yako na uweke jitihada kwa kiasi gani kuna limit ambayo hauwezi kuvuka bila mkono wa serikali.

Mfano umelima mazao halafu serikali ikafunga mipaka kwa kuweka marufuku ya kuuza chakula nje. Matokeo yake hapa chakula kitalundikana ndani ya nchi na kupelekea kushuka bei. Kwaiyo mkulima hata kama alipiga kazi akavuna maelfu ya hekali itamlazimu auze mazao yake kwa bei ya hasara.

Diamond pia yapo mahojiano yake ambayo ashawshi kuilalamikia serikali
 
Lalamika huku fanya kazi Sasa sisi tumewekeza kwenye kulalamika zaidi ya kufanya kazi huyo diamond mwenyewe Kama angekuwa analalamika alafu Hana bidii ya kazi mafanikio angeyapata wapi?
 
Kazi tunafanya na pale ambapo tunaona serikali haichukui hatua madhubuti basi tutalalamika. Pia kama nilivyosema huko juu kwamba tunatofautiana viwango vya ufanyaji kazi kwaiyo hata iweje haiwezekani kila msanii akawa kama diamond. Kila mfanya boashara akawa Mo au kila mcheza mpira akawa kama cristiano ronaldo
 
Huyu mchungaji ni mpumbavu na mdini. Atafune sadaka za wajinga bila kukejeli makundi mengine. Hao wasanii wamemwingilia kwenye kazi yake haramu ya kutafuna hela za maskini kwa kisingizio cha sadaka?
Tena kama wewe ndio choo cha shimo kile cha kulenga kabisa.

Pumbavu.
 
Back
Top Bottom