Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Sasa mchungaji hutamani huo utamu wa chumvini hata kidogo wewe?ndio, kwani ni uchafu kabisa. acha kabisa kuanzia leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mchungaji hutamani huo utamu wa chumvini hata kidogo wewe?ndio, kwani ni uchafu kabisa. acha kabisa kuanzia leo
[emoji23] usimtie mtumishi majaribuniYesu simwachi....
Siku hizi nauza cheni na shanga za kiunoni mchukulie mama mchungaji basi mtumishi
Siku akionja atapiga na mayowe kwa utamuSasa mchungaji hutamani huo utamu wa chumvini hata kidogo wewe?
Na atajutia muda aliopoteza bila kuzama ha haha...Siku akionja atapiga na mayowe kwa utamu
leteni sadaka ndo zinajenga hudumaTulete na sadaka baba mchungaji?
Na kununua VX pia zinanunua.leteni sadaka ndo zinajenga huduma
ww unajickiaje mchungaj wako anaekulinda na nguvu za giza atembeee kwa miguu alafu unataka aje nyumbn kwako. alaafu ww unagariNa kununua VX pia zinanunua.
Hebu mrushie maiti mbili ili tujue kama ni kweli amekomaa kiroho...Aaamen karibu tena JF kabisa pia kwenye chama cha stress
Na kwa nini uje wewe badala ya mimi mwenye shida ndio nije kwako?ww unajickiaje mchungaj wako anaekulinda na nguvu za giza atembeee kwa miguu alafu unataka aje nyumbn kwako. alaafu ww unagari
Japo hujaniuliza mimi naomba nichangie, mate huwa yanaathiri mbegu za kiume kama unatafuta mtoto acha hiyo mambo
Yesu simwachi....
Siku hizi nauza cheni na shanga za kiunoni mchukulie mama mchungaji basi mtumishi
He he umenikumbusha lile somo la mchungaji la shangaYesu simwachi....
Siku hizi nauza cheni na shanga za kiunoni mchukulie mama mchungaji basi mtumishi
Unataka kumtia majaribuni mchungaji ha ha ha anaziombea online na zangu alishaziombeaPlease naweka order ya chain mbili silver & gold na shanga nataka zile za chuku chuku. Nitaziombea na baba mchungaji nikiwa nimezijaribu
[emoji23][emoji28][emoji23]hahaha ila ww EvelynYesu simwachi....
Siku hizi nauza cheni na shanga za kiunoni mchukulie mama mchungaji basi mtumishi
[emoji23][emoji28][emoji23]Na kununua VX pia zinanunua.
[emoji23][emoji28][emoji23]Hebu mrushie maiti mbili ili tujue kama ni kweli amekomaa kiroho...
Amen amen mwaka ni mzuri. neno la mwaka ni MWAKA WA KUTAWALA NA KUMILIKI KIFALME. vyuma vimelegeaBwana Asifiwe mchungaji heri ya mwaka mpya na kwako pia Mungu wetu ni mwaminifu sana mpaka leo tumekutana tena