Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Si walitulikubaliana haitakiwi kuchanganya siasa na dini, imekuaje tena Mchungaji anapiga kampeni kabisa?
Mchungaji Zacharia Samsoni, baada ya kupewa nafasi ya kuombea katika mkutano wa kampeni wa Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba 13, 2025, Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, amewaombea Watanzania wote Mungu awabariki wakajitokeze kupiga kura na kukichagua Chama Cha Mapinduzi (CCM) kishinde kwa kishindo.