Mchungaji Zumaridi ameenda mbinguni kwa andiko gani?

Ifakara kuna kijiji kinaitwa Mbingu uenda alienda huko kumejaa wasukuma
 
Kwa miujiza kama Yesu
 
Imeandikwa: “ MBINGUNI hakuna kuoa wala kuolewa”

Sasa huko kusema Mtume Petro sijui Paulo alitaka kumuoa kunatoka wapi?

Labda awachuze wasoyajua Maandiko Matakatifu.
 
Mkuu shida inaanza pale unapohisi kila mtu anaamini Biblia...
Ukienda bishana na Mhindu utatumia reference ya Biblia? Je, Budha?
Kitu kimoja ambacho huwa nawapenda ndugu zangu Waislamu, kwakuwa huwa wanajua Wakristo wengi hawasomi kitabu nje ya Biblia basi huwa wanaisoma hiyo hiyo biblia kujenga hoja zao.
 
Yeye alikwendapo ile ya bariyadi kijiji kwa wachawi Gamboshi Mooja hiyo. maandiko yanahusikaje kunako mbingu hiyo?wapi na wapi mwanawane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…