jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Shida hakuna usawa katika mazingira ya kazi.Hilo ndilo tatizo kubwa. Akienda kuomba kazi anaweka mikono nyuma na kusema atafanya kazi kokote ndani ya Jamhuri ya Muungano. Akipangiwa Namanyere ama Mtambaswala, anaenda kuripoti anachukua hela kisha anasingizia anaumwa figo na daktari wake yupo Muhimbili hivyo ahamishiwe Muhimbili!
Wanataka KM awe anatoa majina kila siku? Nadhani anafanya vyema ili kwanza aangalie idadi ya wanataka kuhama kwa kubadilishana ili atoe majina mengi kwa wakati mmoja badala ya kutoa majina kila siku.
#MaendeleoHayanaChama