Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,208
- 2,767
Wataalamu naomba msaada kwa hili tatizo.
Imekuwa destruri sasa toka kijijini hadi hapa mjini.
swali hili nilishawahi kumuuliza mwalimu wangu wa o-level lakini na yeye aliishia kucheka tu pamoja na wanafunzi.
mchuzi huu wa kuku za kienyeji huwaga nikiutumia napata hamu ya kufanya tendo la ndoa na nikaacha kufanya lazima usiku niote, nagegeda.
nimeligundua hilo tena baada ya jana kwenda ungenini Kigamboni maeneo ya geza, na kuchijiwa kuku wa kienyeji,.
ikajitokeza tena hali kama hii.,
hali ambayo ilikuwanga inajitokeza kijijini.
naombeni ufafanuzi kuhusu michuzi hii ya kuku, mbuzi na ngombe. ina nini?