Mchuzi wa kuku za kienyeji pamoja na mbuzi

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,208
Reaction score
2,767
Wataalamu naomba msaada kwa hili tatizo.

Imekuwa destruri sasa toka kijijini hadi hapa mjini.
swali hili nilishawahi kumuuliza mwalimu wangu wa o-level lakini na yeye aliishia kucheka tu pamoja na wanafunzi.

mchuzi huu wa kuku za kienyeji huwaga nikiutumia napata hamu ya kufanya tendo la ndoa na nikaacha kufanya lazima usiku niote, nagegeda.

nimeligundua hilo tena baada ya jana kwenda ungenini Kigamboni maeneo ya geza, na kuchijiwa kuku wa kienyeji,.
ikajitokeza tena hali kama hii.,
hali ambayo ilikuwanga inajitokeza kijijini.

naombeni ufafanuzi kuhusu michuzi hii ya kuku, mbuzi na ngombe. ina nini?
 
Watalamu naomba msaada kwa hili tatizo

imekuwa destruri sasa toka kijijini hadi hapa mjini.
swali hili nilishawahi kumuulinza mwalimu wangu wa o-level lakn na yeye aliishia kucheka tu pamoja na wanafunzi.

mchuzi huu wa kuku za kienyeji huwanga nikiutumia napata hamu ya kufanya tendo la ndoa na nikaacha kufanya lazima usiku niote, nagegeda.

nimelingua hilo tena baada ya jana kwenda ungenini kingamboni maeneo ya geza, na kuchijiwa kuku wa kienyeji,.
ikajitokeza tena hali kama hii.,
hali ambayo ilikuwanga inajitokeza kijijini.

naombeni ufafanuzi kuhusu michuzi hii ya kuku, mbuzi na ngombe. ina nini?

inawezekana asili yenu ni kuku! uliza vizuri wazee wako inawezekana babu na bibi zako walikua kuku. si unajua kuku kila akigegeda mwenzie anapata hamu ya kugegeda tena?
 
…….mbona kuhusu Mbuzi , hujatufafanulia au mbuzi inakuwa ni kinyume ndio maana hutaki kutueleza?.
 
inawezekana asili yenu ni kuku! uliza vizuri wazee wako inawezekana babu na bibi zako walikua kuku. si unajua kuku kila akigegeda mwenzie anapata hamu ya kugegeda tena?

Hahahaaaaa nmecheka nusu nizimie ujuee
 
Hahahahaaaaaa, mama mbavu zangu mie. Acha nitoke haraka.
inawezekana asili yenu ni kuku! uliza vizuri wazee wako inawezekana babu na bibi zako walikua kuku. si unajua kuku kila akigegeda mwenzie anapata hamu ya kugegeda tena?
 
inawezekana asili yenu ni kuku! uliza vizuri wazee wako inawezekana babu na bibi zako walikua kuku. si unajua kuku kila akigegeda mwenzie anapata hamu ya kugegeda tena?

Hili jibu ni kiboko
 
Back
Top Bottom