Watalamu naomba msaada kwa hili tatizo
imekuwa destruri sasa toka kijijini hadi hapa mjini.
swali hili nilishawahi kumuulinza mwalimu wangu wa o-level lakn na yeye aliishia kucheka tu pamoja na wanafunzi.
mchuzi huu wa kuku za kienyeji huwanga nikiutumia napata hamu ya kufanya tendo la ndoa na nikaacha kufanya lazima usiku niote, nagegeda.
nimelingua hilo tena baada ya jana kwenda ungenini kingamboni maeneo ya geza, na kuchijiwa kuku wa kienyeji,.
ikajitokeza tena hali kama hii.,
hali ambayo ilikuwanga inajitokeza kijijini.
naombeni ufafanuzi kuhusu michuzi hii ya kuku, mbuzi na ngombe. ina nini?
…….mbona kuhusu Mbuzi , hujatufafanulia au mbuzi inakuwa ni kinyume ndio maana hutaki kutueleza?.inawezekana asili yenu ni kuku! uliza vizuri wazee wako inawezekana babu na bibi zako walikua kuku. si unajua kuku kila akigegeda mwenzie anapata hamu ya kugegeda tena?
inawezekana asili yenu ni kuku! uliza vizuri wazee wako inawezekana babu na bibi zako walikua kuku. si unajua kuku kila akigegeda mwenzie anapata hamu ya kugegeda tena?