Mchuzi wa mayai!

hahahaa mi nimeshakunywa maji ya baraka...hayo hayafanyi kazi amu....afu usimfundishe kichuna wangu 'ushirikina'
 
Last edited by a moderator:
hahahaa mi nimeshakunywa maji ya baraka...hayo hayafanyi kazi amu....afu usimfundishe kichuna wangu 'ushirikina'

weee lazima nimpe maujanja shosti watu kama nyie mumekuwa adimu sana jamani lazima akudhibiti akilegeza kidogo tu umechoropoka.Au vipi DEMBA ?
 
Last edited by a moderator:
tatizo mama mwenye nyumba akisikia tu! harufu ya mayai anaanza kukumbushia kodi!

hama hapo siku ukipika biriani atakurogezea lisiive
 
Arushaone unataka kunenepa kama Mzee wa Rula?
Kaizer unamsikia huyu m baba? Mi simo kwa kweli....maana hata kwenye NOAH utakuwa hutoshi
 
Last edited by a moderator:
weee lazima nimpe maujanja shosti watu kama nyie mumekuwa adimu sana jamani lazima akudhibiti akilegeza kidogo tu umechoropoka.Au vipi DEMBA ?

habari ndio hiyo shostito. hawa bila vimaji mbona utajikuta bila bila.
 
hahahaa mi nimeshakunywa maji ya baraka...hayo hayafanyi kazi amu....afu usimfundishe kichuna wangu 'ushirikina'
beby usiogope hivyo vimaji ni kwa ajili ya wewe kunipenda sana? au hutaki kunipenda sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…