amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mchuzi umenikumbusha zamani mama alikua akitupikia. Ila mayai hukata vipande viwili kwa kila yai. Si Unajua tena mambo ya bajeti. Apo alikua akikosa nyama au samaki ndo hutupikia ivo. Ni kweli mtamu hata kwa wali unaenda poa.
Hata soup ya nyama ukiweka na mayai ya kuchemsha pia inakua poa, unaweka na njegere kdg ni safi sana pia. Tena kama utapata mbuzi ndo inakua tasty
mmh jamani amu hebu poooo kwanza pilau la mayai ndo linakuwaje hilo?
dia nimekumensheni embu angalia mensheni zako loo
wii, si unajua kaka angu ni kimbaumbau? Naomba uonyeshe juhudi zako mpaka anenepe, sawa?
mmh jamani amu hebu poooo kwanza pilau la mayai ndo linakuwaje hilo?
unatutesa wengi sanaduh mimi nimechemsha mayai mawili basi...what a coincidence amu?...huu ubachelor huu.
ila mi napenda mchuzi wa mayai sema mie huwa sichemshi kwanza
nakaanga vitunguu ..nyanya karoti hoho ...vikishaiva then namwaga mayai ni mboga nzuri sana hata kwa ugali
siku nkipika ntakuwekea uone mpenzi yaani ni kawaida tu hauweki nyama we unapika pilau bubu bila nyama ile ukitaka kufunikia unaweka mayai ya kuchemsha katikati daaaamn tamu balaa afu upate na juice ya chungwa au mixer mango na passion mweee umpikie Kaizer usisahau kudondoshe yale maji yetu[/QUOTE]
ha haa haaaa maji muhimu best