Mchuzi wa mayai!

Mchuzi wa mayai!

Asante kwa chakula kitamu.... kwani hayo mayai uliyakata au yalikwua mazima mazima<<<:help:
 
Leo bwana nimetoka kuzurura nimerudi kulala aaa nikaona kila siku kula kwa jirani noma ngoja leo nikaushe nipike nikaingia rum kuangaza angaza kupika cha dakika 2 akili ikanijia fasta mchuzi wa mayai bahati nikawa na mayai akiba ndani,nyanya,vitungu yaani mazagazaga yote full.Ngoja nishare na nyie msosi simple mzuri ndani ya dakika kumi umeshamaliza.
JINSI YA KUANDAA [INATEGEMEA NA IDADI MIE NLIKUWA NAPIKA CHA PEKE YANGU]
NILIWASHA KAJIKO CHANGU CHA MCHINA NIKACHEMSHA MAYAI MAWILI,WAKATI YANACHEMKA NIKAKATA KITUNGUU MAJI KILIKUWA KIKUBWA NIKATUMIA NUSU,NIKASAGA NYANYA 3 KWENYE ILE BLENDER YA MKONO/CAROT MACHINE NIKAMENYA CARROT KIDOGO NA KUIKATAKATA SLICES NDOGO NDOGO,NIKATWANGA VITUNGUU SWAUMU KIDUCHU.
MAYAI YAKAIVA NIKAYAIPUA NA KUYAWEKA KWENYE SAHANI NIKABANDIKA SUFURIA NIKADONDOSHEA MAFUTA YA KUPIKIA KIDOGO,NIKAWEKA VITUNGUU NA KAROT NIKAANGA MPAKA VITUNGUU RANGI YA BROWN KISHA NIKAWEKA NYANYA NA VITUNGUU SWAUMU NIKAFUNIKIA,WAKATI VINACHEMKA NIKAWA NAMENYA/KUTOA MAGANDA MAYAI YANGU 2 ,NYANYA ZIKAIVA NIKADONDOSHEA CURRY POWDER KIDUCHU,KISHA NIKADONDOSHEA NYANYA YA PAKTI KIDOGO,NIKAFUNIKIA TENA,BAADA YA DAKIKA 1 NIKAKATIA KATIA HOHO KIDUCHU NIKAWEKA NA LIMAO NUSU KIPANDE NIKASUBIRIA HOHO ZIKAIVA KISHA NIKAWEKA MAYAI NLIYOYAMENYA NIKAACHA VICHEMKE KAMA DAKIKA 2 KISHA NIKAIPUA.
NDANI NLIKUWA NA MKATE NIKALA ZANGU NA MKATE NA CHAI YA RANGI HAPA NIMESHIBA TOP NA YAI MOJA NA MCHUZI WAKE LIMEBAKIA NITANYWEA ASUBUHI.
Hii mboga nzuri hata ukiwa na family unaweza ukalia na wali au spagheti[mie mara ya kwanza nilipanga kupika na spagheti but njaa iliuma sana ha ha pia kubana mafuta ya taa bajeti loo.
BAK ladyfurahia mimisa Me370 Kipaji Halisi Mentor single boys hii inawahusu sana looo Paloma mwaJ shansarie kiwatengu gfsonwin snowhite Smile Kongosho BADILI TABIA King'asti Munkari Lady doctor Mr Rocky Filipo Arushaone Munkari monaco Mwita Maranya FaizaFoxy Heaven on earth SIMplicty lara 1 KOKUTONA YNNAH Mwanyasi watu8 charminglady Husninyo Mamndenyi Vin Diesel Bujibuji Preta marejesho arabella Dark City yule kaka anayependa misosi nani vile aaaa nshamkumbuka Ritz

nilisikia mayai yana kawaida ya kukufanya uwe unapumulia sana wowowo.
Hapo ilikuwaje kwa upande wako?
Au kwa sababu ilikua usiku na ukizingatia unalala mwenyewe kwa hiyo shuka zilikiona cha mtema kuni?
Eti?
Nimeuliza tu jamani usinirushie mawe
 
hujui kwamba hiyo ni tiba.Ushamba tu unazingua bila kupumua wewe usingeishi
 
Ha ha haaa......we acha tu, hizi big family hiziii

mamii ndo family zetu za kiafrika.nakumbuka sie home mama alikuwa anapika kwa rice cooker tena anapondea mayai humohumo kwa wali wali ukiiva unakuwa mtamu balaaa.Bajet family kubwa.
 
Leo bwana nimetoka kuzurura nimerudi kulala aaa nikaona kila siku kula kwa jirani noma ngoja leo nikaushe nipike nikaingia rum kuangaza angaza kupika cha dakika 2 akili ikanijia fasta mchuzi wa mayai bahati nikawa na mayai akiba ndani,nyanya,vitungu yaani mazagazaga yote full.Ngoja nishare na nyie msosi simple mzuri ndani ya dakika kumi umeshamaliza.
JINSI YA KUANDAA [INATEGEMEA NA IDADI MIE NLIKUWA NAPIKA CHA PEKE YANGU]
NILIWASHA KAJIKO CHANGU CHA MCHINA NIKACHEMSHA MAYAI MAWILI,WAKATI YANACHEMKA NIKAKATA KITUNGUU MAJI KILIKUWA KIKUBWA NIKATUMIA NUSU,NIKASAGA NYANYA 3 KWENYE ILE BLENDER YA MKONO/CAROT MACHINE NIKAMENYA CARROT KIDOGO NA KUIKATAKATA SLICES NDOGO NDOGO,NIKATWANGA VITUNGUU SWAUMU KIDUCHU.
MAYAI YAKAIVA NIKAYAIPUA NA KUYAWEKA KWENYE SAHANI NIKABANDIKA SUFURIA NIKADONDOSHEA MAFUTA YA KUPIKIA KIDOGO,NIKAWEKA VITUNGUU NA KAROT NIKAANGA MPAKA VITUNGUU RANGI YA BROWN KISHA NIKAWEKA NYANYA NA VITUNGUU SWAUMU NIKAFUNIKIA,WAKATI VINACHEMKA NIKAWA NAMENYA/KUTOA MAGANDA MAYAI YANGU 2 ,NYANYA ZIKAIVA NIKADONDOSHEA CURRY POWDER KIDUCHU,KISHA NIKADONDOSHEA NYANYA YA PAKTI KIDOGO,NIKAFUNIKIA TENA,BAADA YA DAKIKA 1 NIKAKATIA KATIA HOHO KIDUCHU NIKAWEKA NA LIMAO NUSU KIPANDE NIKASUBIRIA HOHO ZIKAIVA KISHA NIKAWEKA MAYAI NLIYOYAMENYA NIKAACHA VICHEMKE KAMA DAKIKA 2 KISHA NIKAIPUA.
NDANI NLIKUWA NA MKATE NIKALA ZANGU NA MKATE NA CHAI YA RANGI HAPA NIMESHIBA TOP NA YAI MOJA NA MCHUZI WAKE LIMEBAKIA NITANYWEA ASUBUHI.
Hii mboga nzuri hata ukiwa na family unaweza ukalia na wali au spagheti[mie mara ya kwanza nilipanga kupika na spagheti but njaa iliuma sana ha ha pia kubana mafuta ya taa bajeti loo.
BAK ladyfurahia mimisa Me370 Kipaji Halisi Mentor single boys hii inawahusu sana looo Paloma mwaJ shansarie kiwatengu gfsonwin snowhite Smile Kongosho BADILI TABIA King'asti Munkari Lady doctor Mr Rocky Filipo Arushaone Munkari monaco Mwita Maranya FaizaFoxy Heaven on earth SIMplicty lara 1 KOKUTONA YNNAH Mwanyasi watu8 charminglady Husninyo Mamndenyi Vin Diesel Bujibuji Preta marejesho arabella Dark City yule kaka anayependa misosi nani vile aaaa nshamkumbuka Ritz

amu mimi hujanitaja...!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom