Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ya kuchemsha me ninawekaga had nazi, ni tamu kweli, mboga rahisi sana.Na ile ya kuyachemsha kwanza alafu unayamenya , unaweka sufuria jikon ,mafuta ,nyanya ,kitunguu, unaacha viive alafu unayaweka Yale mayai ulikua umeyachemsha unaacha hadi viive vyote
Unaweza kula na wali tamu sana
Alafu uweke na nazi daahhh, utakula "watoto" wa mwenye nyumba mpaka notice ikukumbe,.Na ile ya kuyachemsha kwanza alafu unayamenya , unaweka sufuria jikon ,mafuta ,nyanya ,kitunguu, unaacha viive alafu unayaweka Yale mayai ulikua umeyachemsha unaacha hadi viive vyote
Unaweza kula na wali tamu sana
Ni balaa,angemchapaNinaelewa pale unapojua budget ya gas iko sorted.
Ingekuwa dada wakuu amefanya hayo?😳
Jaribu utatupa mrejesho, ila mayai uyachemshe kwanza,Sijawahi kujaribu yai la nazi, kweli tunajifunza kila siku
hahah verse matataVyuma kukaza vinafanya watu wawe wabunifu....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Juzi nimepanda daladala nasikia konda anapiga verse kwa sauti saaafi, kumbe anakipaji cha uimbaji bhanaa.
Hii naifanyia majaribio keshoVyuma vimekaza, hii ni njia rahisi ya kupata balanced diet yenye protein. Ni mlo wa mayai mawili. Mods si kuona jukwaa la mapishi.
Kata kitunguu, nyanya, hoho, uviweke sehem tofauti kwenye sahani.
kaanga kitunguu mpaka kuwe na rangi ya hudhurungi, weka nyanya acha ziive, weka hoho usiiache iive, ni nzuri kuliwa ikiwa crunch.
Vunja mayai uyamimine kwenye mchanganyiko huu bila kuyapiga. Acha yaive bila kukoroga mpaka ya settle.
Ukiyapiga au kukoroga yana kuwa kama matapishi. Unaweza kuweka maggi na chumvi kidogo kuleta ladha.
Nilifundishwa na shost m-Ghana enzi za mchacho wa shule na tulikula mboga hii na wali.
Unatia kapicha au kavisual audio sasa siku nyingine Sktly EclatVyuma vimekaza, hii ni njia rahisi ya kupata balanced diet yenye protein. Ni mlo wa mayai mawili. Mods si kuona jukwaa la mapishi.
Kata kitunguu, nyanya, hoho, uviweke sehem tofauti kwenye sahani.
kaanga kitunguu mpaka kuwe na rangi ya hudhurungi, weka nyanya acha ziive, weka hoho usiiache iive, ni nzuri kuliwa ikiwa crunch.
Vunja mayai uyamimine kwenye mchanganyiko huu bila kuyapiga. Acha yaive bila kukoroga mpaka ya settle.
Ukiyapiga au kukoroga yana kuwa kama matapishi. Unaweza kuweka maggi na chumvi kidogo kuleta ladha.
Nilifundishwa na shost m-Ghana enzi za mchacho wa shule na tulikula mboga hii na wali.
Ila mimi huwa nayapiga na huwa yakikaa yanaproduce maji maji ambayo ni sauce inasaidia wakati wa kula na ubwabwa au ndizi zilizosongwa.Vyuma vimekaza, hii ni njia rahisi ya kupata balanced diet yenye protein. Ni mlo wa mayai mawili. Mods si kuona jukwaa la mapishi.
Kata kitunguu, nyanya, hoho, uviweke sehem tofauti kwenye sahani.
kaanga kitunguu mpaka kuwe na rangi ya hudhurungi, weka nyanya acha ziive, weka hoho usiiache iive, ni nzuri kuliwa ikiwa crunch.
Vunja mayai uyamimine kwenye mchanganyiko huu bila kuyapiga. Acha yaive bila kukoroga mpaka ya settle.
Ukiyapiga au kukoroga yana kuwa kama matapishi. Unaweza kuweka maggi na chumvi kidogo kuleta ladha.
Nilifundishwa na shost m-Ghana enzi za mchacho wa shule na tulikula mboga hii na wali.
Ndizi zilizosongwa ulisha wahi kula na nyama ya moshi, unachukua jiko la mkaa unapanga maganda ya ndizi juu, unaweza nyama juu yake. Ikipata moshi unaitoa unaacha ipoe unakata na jutengeneza mchuzi wa kulia ndiziIla mimi huwa nayapiga na huwa yakikaa yanaproduce maji maji ambayo ni sauce inasaidia wakati wa kula na ubwabwa au ndizi zilizosongwa.
Mboga yangu hii naipenda sanaVyuma vimekaza, hii ni njia rahisi ya kupata balanced diet yenye protein. Ni mlo wa mayai mawili. Mods si kuona jukwaa la mapishi.
Kata kitunguu, nyanya, hoho, uviweke sehem tofauti kwenye sahani.
kaanga kitunguu mpaka kuwe na rangi ya hudhurungi, weka nyanya acha ziive, weka hoho usiiache iive, ni nzuri kuliwa ikiwa crunch.
Vunja mayai uyamimine kwenye mchanganyiko huu bila kuyapiga. Acha yaive bila kukoroga mpaka ya settle.
Ukiyapiga au kukoroga yana kuwa kama matapishi. Unaweza kuweka maggi na chumvi kidogo kuleta ladha.
Nilifundishwa na shost m-Ghana enzi za mchacho wa shule na tulikula mboga hii na wali.
Dada sky... SijaelewaNdizi zilizosongwa ulisha wahi kula na nyama ya moshi, unachukua jiko la mkaa unapanga maganda ya ndizi juu, unaweza nyama juu yake. Ikipata moshi unaitoa unaacha ipoe unakata na jutengeneza mchuzi wa kulia ndizi
Aaaaah ww tutake radhi,, vyuma vimekaza kotekote iyo mboga tunakula sana tunawashinda na nyie wa darHii ya kuchemsha me ninawekaga had nazi, ni tamu kweli, mboga rahisi sana.
Wa mkoani hawakawii kuja hapa na kusema mboga za watu wa dar.