Mchuzi wa yai: Hufaa kuliwa na wali, mabachela unawahusu

Na ile ya kuyachemsha kwanza alafu unayamenya , unaweka sufuria jikon ,mafuta ,nyanya ,kitunguu, unaacha viive alafu unayaweka Yale mayai ulikua umeyachemsha unaacha hadi viive vyote
Unaweza kula na wali tamu sana
Hii ya kuchemsha me ninawekaga had nazi, ni tamu kweli, mboga rahisi sana.

Wa mkoani hawakawii kuja hapa na kusema mboga za watu wa dar.
 
Alafu uweke na nazi daahhh, utakula "watoto" wa mwenye nyumba mpaka notice ikukumbe,.
 
Sijawahi kujaribu yai la nazi, kweli tunajifunza kila siku
 
Mboga tamu kazi ni apo kwenye kukatakata viungo alafu kila viungo na sahani yake ukianza kufikilia kuosha ivyo vyombo du sio vichafu kivile but kuviosha ndo kazi
 
Hii naifanyia majaribio kesho
 
Unatia kapicha au kavisual audio sasa siku nyingine Sktly Eclat
 
Ila mimi huwa nayapiga na huwa yakikaa yanaproduce maji maji ambayo ni sauce inasaidia wakati wa kula na ubwabwa au ndizi zilizosongwa.
 
Ila mimi huwa nayapiga na huwa yakikaa yanaproduce maji maji ambayo ni sauce inasaidia wakati wa kula na ubwabwa au ndizi zilizosongwa.
Ndizi zilizosongwa ulisha wahi kula na nyama ya moshi, unachukua jiko la mkaa unapanga maganda ya ndizi juu, unaweza nyama juu yake. Ikipata moshi unaitoa unaacha ipoe unakata na jutengeneza mchuzi wa kulia ndizi
 
Mboga yangu hii naipenda sana
 
Ndizi zilizosongwa ulisha wahi kula na nyama ya moshi, unachukua jiko la mkaa unapanga maganda ya ndizi juu, unaweza nyama juu yake. Ikipata moshi unaitoa unaacha ipoe unakata na jutengeneza mchuzi wa kulia ndizi
Dada sky... Sijaelewa
 
Mimi hyo huwa nakaanga kwanza mayai kwanza na vitunguu, then ndo natia hyo nyanya, namaliza na hoho, hatari sana kwenye wali hii kituu.Asante Sky kwa kuileta hapa
 
Hii ya kuchemsha me ninawekaga had nazi, ni tamu kweli, mboga rahisi sana.

Wa mkoani hawakawii kuja hapa na kusema mboga za watu wa dar.
Aaaaah ww tutake radhi,, vyuma vimekaza kotekote iyo mboga tunakula sana tunawashinda na nyie wa dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…