MCL: Kiboko ya Wachawi aja na namna mpya ya upigaji

MCL: Kiboko ya Wachawi aja na namna mpya ya upigaji

Kosa lake ni lipi ikiwa watu wanatuma kwa ridhaa yao bila kushikiwa bunduki!
Ndiyo maana kila siku nasema wewe ni kichwa maji.

Tatizo si kutuma kwa ridhaa. Changamoto ni ulaghai wa kutozwa fedha huku akijua fika hakuna analoweza kufanya.

Mwandishi kajifanya, huku haumwi hata mafua. Yeye anamuambia kuna mdudu anatembea sijui wapi na hana muda atakufa.

Anajipatia fedha kwa njia ya udanganyifu..huo ni UTAPELI.

Bladfaken..
 
Huyu Mkongo tapeli mkubwa sanaa, kwanini hakukamatwa na kufungwa?
 
Kwamba laki tatu haiwezi kusaidia chochote,Ila wachungaji .😂😂😂
 
sadaka imekuwa ni yaku bargain nayo siku izi na wapokea sadaka na sio tena kutoa ulichonacho wewe kama zamani.
 
HILI NALO MKALITAZAME.

Nawaagiza akina KASIMU na MWIGULU mwende mkaliangalie hili tuone "tunakwenda vipi".

Tumeanza kusikia "vijikelele kelele" vya utapeli wa NABII, angalieni jinsi ya KUBORESHA ili na sisi sErEkalE tupate kodi yetu.

MKINIKUNA NITAWAKUNA.
Hivi huyu member huo ni KE au ME?
 
Back
Top Bottom