MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

,
Kuna namna watu wenye vyeo na pesa wanapaswa kuwa na walinzi wenye akili nyingi sana kuzima vitu kama hivi kuliko kuwa na nguvu tu.
Mkuu kwako wewe unaona jambo alilofanya Yahaya ni nzuri na lilifaa kuzimwa ili sisi raia tusijue ufirauni wa yahya? Hebu chukulia alofanyiwa ni ndugu yako ungependa jambo liishie juu juu?
 
Kama ni mwanafunzi kuna ubaya!

Pia ni ubaya kuingiza dudu kwenye shimo la choo.

Ila Tanzania ni kama lawless state. Alitakiwa kushtakiwa ila ndo hivyo tena .
Kumbe ni mwanafunzi wa chuo, chuo ni halali. Kosa kuingia mlango wa nyuma
 
Mkuu kwako wewe unaona jambo alilofanya Yahaya ni nzuri na lilifaa kuzimwa ili sisi raia tusijue ufirauni wa yahya? Hebu chukulia alofanyiwa ni ndugu yako ungependa jambo liishie juu juu?
Mkuu nilikuwa namaanisha wanapaswa kuwa na watu ambao wanaweza wakawashauri kabla ya kufanya kitu fulani kwa kuangalia madhara yatakayojitokeza. Kama vile wanaweza kuwa na madaktari wao binafsi wakawa wanaambia namna ya kula muda wa kupumzika, kama vile wanavyokuwa na wanasheria binafsi kabla hawajaingia mikataba wanawashurikisha basi hivyo hivyo wanapaswa kuwa na watu wa karibu wakuwashirika wenye hekima na busara kabla hawajafanya ujinga.
 
Kesi ndogo sana hii mtuhumiwa atachomoka tuu. Binti amevuna alichopanda angeliwa kotekote hadi puani shenzi kabisa
 
Habari hizi zimekaa kiumbea zaidi, hapa haki ikitendeka huyo Binti ana kesi ya kujibu, hii Ina maana kufanya biashara ya ukahaba, na kama alilawitiwa kesi iongezwe kufanya mapenzi kunyume Cha maumbile!! Hii ni kama kuchafuana tuu!!
Umesoma report ya daktari!? Au unabwabwaja tu,au wewe ndo Yahya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…