MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

Uko sahihi.

Binti ni mwamba wa kufungua kesi za kubakwa.

Aingii akilini mtu aliyetaka kukuingilia kinyume cha maumbile unaendelea kuwasiliana naye, hii ilipangwa kati ya huyo binti ambaye ni malaya na baadhi ya watu ili kumshikisha adabu aliyekuwa RC Simiyu.

Na waliona njia nzuri ya kumkamata ni Roxk City Mall sababu kuna CCTV Camera, kwingine ingekuwa ni ngumu kutengeneza ushahidi.

Kwenye parking za magari za rock city mall kuna malaya wengi wanajiuza, nadhani mwaka jana nilikwenda Mwanza kwa siku kama mara 3 nilikuwa nakwenda hapo Cask usiku unawaona wamesimama kwenye parking za magari.
 
Sakata lililokuwepo Polisi Mwanza la kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi Mwanza linamhusu na tayari alishatumbuliwa. Sehemu nyingi alizopita huyu bwana pamoja na uchapa kazi wake scandals zake ni kupenda chini na kwa Mpalange sana sana.
wewe alikukula tiGo?
 
Mkuu wa Mkoa unaacha Mkoa wako unakqenda kukichanganya na wahuni the cask? Unapokuwa KIONGOZI Kuna vitu lazima uviache. Hata kama umri ni mdogo unatakiwa uingie kwenye utu uzima
Nashangaa kuongozi mzima unakwenda sehemu the cask 😄

Ova
 
Hahahaha huyu jamaa sijui sasa atawambia nini watoto,nduguze na mkewe kuhusu hili swala aisee aibu naona mimi!

Kweli shetani ni hatari sana….hata kama wanakuchafua cha kujiuliza mkuu wa Mkoa The Cask kwenye birthday ulifata nini?
Inasikitisha kwa kweli.
 
Kuna club za viongozi,members only una join huko kuna faragha za kutosha
Sasa unakwenda the cask au kidimbwi sjui wavuvi kamp
Huko kila mtu anarekodi na kupiga picha
Alafu huko sasa wamejaa wale wakina mwajuma chupi kubwa 😄

Ova
Ha haaa .....mwajuma chupi kubwa........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…