Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Uko sahihi.Kwa kuwa wengi hum ndani tumeisoma tu hii habari! Tunaweza kusema ni tuhuma tu mpka pale mahakama itakapo jiridhisha bila shaka yeyote kuwa ni kweli
Sasa ikija kutokea mzee wa watu ameshinda kesi asee hyu mdada sijui atakuwa na hali ipi na kama itathibitisha kuwa hyo mdada kwel alifanyiwa kwa maana nyingine atatuambia uma utakuwa na uhakika kuwa aliingiliwa kinyume na maumbile bila ridhaa yake!
Sasa ukipitia barua(aliyo iandika kama ni kweli ya kweke) kuna neno siasa limetumika namshauri tu ameingia mahali ambapo kunasiku atajuta kuwafaham wanasiasa!
Nnanyamaza kusubri mahakama kutoka hukumu kama police watasema kunakesi ya kujibu! Kiujumla kesi hizi za kina dada kuwashitaki kina baba kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia huwa zinaukwel nusu na nusu yake ni plans so unahitaji kuwa makini kuhitimisha mambo haya vinginevyo unaweza kuangukia kwenye kesi ya yusuph na mke wa mfalme! Ushahidi wote unaonekana ubakaji kumbe its plan went wrong
Binti ni mwamba wa kufungua kesi za kubakwa.
Aingii akilini mtu aliyetaka kukuingilia kinyume cha maumbile unaendelea kuwasiliana naye, hii ilipangwa kati ya huyo binti ambaye ni malaya na baadhi ya watu ili kumshikisha adabu aliyekuwa RC Simiyu.
Na waliona njia nzuri ya kumkamata ni Roxk City Mall sababu kuna CCTV Camera, kwingine ingekuwa ni ngumu kutengeneza ushahidi.
Kwenye parking za magari za rock city mall kuna malaya wengi wanajiuza, nadhani mwaka jana nilikwenda Mwanza kwa siku kama mara 3 nilikuwa nakwenda hapo Cask usiku unawaona wamesimama kwenye parking za magari.