A
Anonymous
Guest
Kwa heshima, tunaomba Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) lizingatie kufanya mtihani wa Pre-Internship kwa batch ya pili mwezi Desemba 2026 au Januari 2027, badala ya kusubiri hadi Aprili 2027.
Changamoto ipo kwa wahitimu wanaofanya mtihani wa special au supplementary, ambao matokeo yao hutoka baada ya mtihani wa Pre-Internship kufanyika. Hali hii huwalazimu kusubiri miezi sita kabla ya kupata nafasi nyingine ya kufanya mtihani.
Pendekezo letu ni mitihani ya Pre-Internship ifanyike mwezi Oktoba na Desemba au Januari ili kupunguza muda wa wahitimu kukaa mtaani.