MD REA amepeleka umeme vijiji vingi, nini sababu ya kuondolewa?

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
 
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha ccm kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, tanesco sawa kilikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
Watu wanapanga WAWAPENDAO MKUU
 
Vijiji gani hivyo vilivyopelekewa umeme, huku kwetu same mashariki vijiji Vingi na kata nyingi hatuna umeme mfano mm natoka kata ya LUGULU hata nzima hakuna kijiji hata kimoj chenye umeme

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wasukuma kaeni pembeni saa hizi ni zamu yetu wala urojo.
Kutesa kwa zamu
 
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha ccm kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, tanesco sawa kilikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
Nae yeye Mwendazake aliondoa wote wa mtangulizi wake mbona hamkupiga kelele ?subirini sindano iwangie taratiiiibu
 
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha ccm kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, tanesco sawa kilikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
Naam Mwendazake alikuwa anajaza wapwa zake na kanda ya ziwa sasa zamu ya wengine.
 
Ni wa BAKWATA? Kama sivyo imekula kwake.
Mtasema yote lakini Mama harudi nyuma ng'o, mwendazake katimua watu kibao bila sababu wala hamkuhoji leo hii mwenye mamlaka anatekeleza majukumu yake kama alivyokuwa mwendazake mnaleta maneno kibao,vumilieni tu huyu nae atatoka ataingia mwingine atakaye wafurahisha.
 
Sababu ni hazijulikani, kwatanesco tunajua kunashida ya kukatika umeme, Sasa umeme vijijini kilikuwa na shida gani
Ukijua sababu ya kuletwa januari makamba kua waziri ndio utajua kwa nini watu wanaonekana wazuri wanapigwa chini.
 
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha ccm kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, tanesco sawa kilikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
Nimabadiliko mwana mabadiliko.Ukiona hutaki mabadiliko maana yake una manufaa binafsi katika nafasi uliyonayo.
 
Back
Top Bottom