MD REA amepeleka umeme vijiji vingi, nini sababu ya kuondolewa?

Cheo dhamana tuu, vyeo vya kuteuliwa anayekupa anaweza akachukua bila kutoa maelezo yeyote, tunashukuru alifanya kazi nzuri ....move on
 
Ile ripoti kuwa Kilimanjaro imeunganishiwa umeme 100% vijiji vyote mbona unapingana nayo au Same iko Lindi?
 
Ni zao la teuzi za kikanda. Apumzike tu
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
 
Hivi kwenu Wilayani kuna jengo la kisasa la TANESCO kama lile linalojengwa Chato?
Kuna mambo yasiyoeleweka kwenye uteuzi huu. Kumtoa huyo jamaa na aliyekuwa Waziri wake, Mr kalemani, ni jambo linahitaji kufukunyua kujua tatizo ni nini
 
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.

IMG_20210829_032751_977.jpg
 
Umeme wa REA imekuwa zaidi ni hadaa ya kisiasa kuliko kuwa huduma bora ya umeme.

Wakati ule wa Kalemani, umeme ulikuwa unapelekwa kijijini, wanaingiziwa watu 4, halafu inatangazwa kuwa kijiji hicho tayari umeme umepatikana. Baada ya hapo, hakuna mfanyakazi wa TANESCO wala ofisi ambayo mteja anaweza kwenda kwaajili ya kuunganishiwa umeme au kutatua tatizo la umeme. Walikuwa wanatafuta tu sifa ya kudai vijiji vingi vimepata umeme, wakati kiuhalisia wanavijiji zaidi ya 80% walio tayari kuungamishiwa umeme walikuwa hawahudumiwi.

Simlaumu Kalemani maana awamu ya 5, kuanzia Rais mpaka wasaidizi wake, wote waliendesha siasa za hadaa kwa nia ya kutafuta sifa.

Watendaji wote wanaotaka kufanya mambo kwa hadaa kwa nia ya kutafuta sifa, waondolewe. Wengi utawagundua kwa kauli za kujipendekeza. Mara, Rais amejenga hiki au kile, ukimsikia tu anayesema hivyo, unajua ni yale mabaki ya awamu ya 5, yaliyokuwa yakiamini katika unafiki. Tunataka viongozi wakweli wa nafsi.
 
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
New Administration, by default, hana hatia!
Re: Gupta family and Jacob Zuma
 
Back
Top Bottom