mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Watu wanapanga WAWAPENDAO MKUUHii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha ccm kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, tanesco sawa kilikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
Watu wanapanga WAWAPENDAO , hii yaoneaha ngoja nami niwe raisi naweka ukoo wote madarakani
Kuna mambo yasiyoeleweka kwenye uteuzi huu. Kumtoa huyo jamaa na aliyekuwa Waziri wake, Mr kalemani, ni jambo linahitaji kufukunyua kujua tatizo ni niniAlikuwa hatoi kamisheni kwa wakubwa waliotumwa na mkubwa
Sababu ni hazijulikani, kwatanesco tunajua kunashida ya kukatika umeme, Sasa umeme vijijini kilikuwa na shida ganiNafikiri sababu za kumpiga chini waziri wake; ndizo zinaweza kuwa zimemwondea na Yeye pia!
Nae yeye Mwendazake aliondoa wote wa mtangulizi wake mbona hamkupiga kelele ?subirini sindano iwangie taratiiiibuHii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha ccm kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, tanesco sawa kilikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
Ni wa BAKWATA? Kama sivyo imekula kwake.
Naam Mwendazake alikuwa anajaza wapwa zake na kanda ya ziwa sasa zamu ya wengine.Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha ccm kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, tanesco sawa kilikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
Mtasema yote lakini Mama harudi nyuma ng'o, mwendazake katimua watu kibao bila sababu wala hamkuhoji leo hii mwenye mamlaka anatekeleza majukumu yake kama alivyokuwa mwendazake mnaleta maneno kibao,vumilieni tu huyu nae atatoka ataingia mwingine atakaye wafurahisha.Ni wa BAKWATA? Kama sivyo imekula kwake.
Ukijua sababu ya kuletwa januari makamba kua waziri ndio utajua kwa nini watu wanaonekana wazuri wanapigwa chini.Sababu ni hazijulikani, kwatanesco tunajua kunashida ya kukatika umeme, Sasa umeme vijijini kilikuwa na shida gani
Nimabadiliko mwana mabadiliko.Ukiona hutaki mabadiliko maana yake una manufaa binafsi katika nafasi uliyonayo.Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha ccm kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, tanesco sawa kilikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
Tunaondoa sukuma gang taratiiiibu bila kusababisha maumivu.Kumtoa huyo jamaa na aliyekuwa Waziri wake, Mr kalemani,ni jambo linahitaji kufukunyua kujua tatizo ni nini