MD REA amepeleka umeme vijiji vingi, nini sababu ya kuondolewa?

Mama anasafisha gentle and smart i like her way of cleaning, Popote ulipowekwa kwa mbeleko Anza kufungasha Virago REA pana madudu sana kuanzia walipewa Contract ni Uhuni Mwingi Mpaka procurements material ni Giza nene leo ukiambiwa fulani ni bilionea ujue ndo ivo
 
Tunaondoa sukuma gang taratiiiibu bila kusababisha maumivu.
Rea na usambazaji umeme uligeuka mradi wa manufaa ya kakikundi au himaya fulani,binafsi ni mhanga wa habari hizo za ama usubiri rea au ununue nguzo ili kupata huduma, Hivyo ni wakati sahihi wa kuifahamisha jamii kuwa rea ni nini na inafanyaje kazi na hiyo habari ya kununulishwa nguzo iliyopo nje ya rea ni nini?
 
KUTAWALIWA NA MWANAMKE NI HATARI SANA KULIKO HATA KUPATA COVID-19!!, Kuna mtu amekazana anaturudisha nyuma kwa spidi ya 4G. yaani hadi ifike 2025 atakuwa kauza kamaliza yote wajameni.
 
Acha ujinga nani kakwambia ccm imeshinda uchaguzi

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Rejea jina lako mtoa uzi...,ni mabadiliko tu.
Uteuzi wa mashirika ya umma haya ni utashi na sio utendaji kazi. Hata mawaziri na wakuu wa mikoa wilaya wakurugenzi nk ni utashi tu wa mteuaji na si vinginevyo.

Hata kesho ikitokea anapatikana mteuaji mwingine wanafutwa hawa wanawekwa wapya au wazamani.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mimi naona REA ilikuwa inapelekwa kanda ya ziwa tu!,..kwingine tulisahaulika.,
..hebu jiulize Kalemani ameshawahi tangu lini kutembelea nyanda za juu kusini?
 
Mtumishi wa genge yule,kutimiza wajibu ndio Kazi anayolipwa
 
Mnyamwezi wa Sikonge
 
I see, kumbe! Kuna habari hiyo...funguka vzr ndugu
Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app
 
Lkn mpaka sasa yapo hayo mambo. Kuna maeneo mtu akitoa chochote ndo anaunganishiwa umeme na kuwashiwa huku wengine katika eneo hilo hilo wakiwa gizani miezi na miezi
Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…