Dig the EA
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 287
- 279
Mbona kanda ya ziwa maeneo mengi ya Shinyanga, Geita, Mwanza hayana umeme na rushwa inaombwa sana huko huko- hii iko kote tuItakuwa kweli nasikia Kuna mikoa imekosa Rea hasa ya Kanda ya Kaskazini na kusini , huu ukanda hatari,
..hiyo REA ilikuwa kwa ajili ya lake zone a.k.a sukuma Gang
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
Kuna mambo yasiyoeleweka kwenye uteuzi huu. Kumtoa huyo jamaa na aliyekuwa Waziri wake, Mr kalemani, ni jambo linahitaji kufukunyua kujua tatizo ni nini
Nawashangaa kwetu kata nzima hakuna kijiji hata kimoja chenye umeme Na hata jirani vijiji ving havina umemeIle ripoti kuwa Kilimanjaro imeunganishiwa umeme 100% vijiji vyote mbona unapingana nayo au Same iko Lindi?
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
Hawafai hao SUKUMA GANG walikuwa wapigaji sanaKuna mambo yasiyoeleweka kwenye uteuzi huu. Kumtoa huyo jamaa na aliyekuwa Waziri wake, Mr kalemani, ni jambo linahitaji kufukunyua kujua tatizo ni nini
Umeme wa REA imekuwa zaidi ni hadaa ya kisiasa kuliko kuwa huduma bora ya umeme.Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
New Administration, by default, hana hatia!Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je ndo mambo ya kuondoa timu mwendazake au Kuna vijiji zaidi alishindwa.
Hadi Kasozibakaya na Nyamigogo kata vijiji hivi viko less than few kilometa from Chato havina umeme.Mbona kanda ya ziwa maeneo mengi ya Shinyanga, Geita, Mwanza hayana umeme na rushwa inaombwa sana huko huko- hii iko kote tu
Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app