fundiaminy JF-Expert Member Joined Jun 4, 2009 Posts 354 Reaction score 52 Jun 30, 2009 #1 nimekutana na vimada kibao lakini kila wakati hujiuliza niwape kama mda gani ndio niwape nambari yangu ya simu kwa minajili ya mawasiliano?
nimekutana na vimada kibao lakini kila wakati hujiuliza niwape kama mda gani ndio niwape nambari yangu ya simu kwa minajili ya mawasiliano?
Bluray JF-Expert Member Joined Mar 25, 2008 Posts 3,449 Reaction score 137 Jun 30, 2009 #2 Jamaa ana tege huyu!
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,503 Reaction score 20,892 Jun 30, 2009 #3 fundiaminy said: nimekutana na vimada kibao lakini kila wakati hujiuliza niwape kama mda gani ndio niwape nambari yangu ya simu kwa minajili ya mawasiliano? Click to expand... Hao vimada huwa unakutana nao wapi na huwa mnawasiliana vipi (kwani by then hujawapa namba yako ya simu)
fundiaminy said: nimekutana na vimada kibao lakini kila wakati hujiuliza niwape kama mda gani ndio niwape nambari yangu ya simu kwa minajili ya mawasiliano? Click to expand... Hao vimada huwa unakutana nao wapi na huwa mnawasiliana vipi (kwani by then hujawapa namba yako ya simu)